Niliyojiapiza kutoyafanya ukubwani yote yamenishinda. Hadi sasa nimeyafanya yote kasoro moja tu

D

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Messages
5,064
Points
2,000
D

dmkali

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2014
5,064 2,000
Ndugu zangu!

Mwenzenu nilipokuwa kijana niliapa katu katu sitokuja kujaribu kufanya mambo haya matano!

  1. Niliapa kutozaa watoto nje ya ndoa.... lakini hadi muda huu Leo nina watoto watatu nje ya ndoa inaniuma sana lakini basi tu
  2. Niliapa sitokuja kutembea na mke wa MTU katukatu...Daah kusema ukweli hilo nalo nimepitiwa nimewalaaa sana utafikili wametumwa kunijaribu
  3. Kufanya mapenzi kwenye gari; Yaani nilikuwa nawashangaa sana wanaofanya kwenye gari, lakini siku nilionja nikazoea kwanza hata guest nikaanza kuona ni hasara
  4. Kwenda kwa mganga; Niliapa sitakanyaga kwa mganga, Baada misukosuko ya kikazi nilimtafta mganga mwenyewe bila shurti
  5. Nililofanikiwa hadi sasa nikotokula TGO ya mtu; Kusema ukweli hili nimeshinda ingawa majaribu yalikuwa mengi sana lakini Alhamdulillah Nimeyashinda!
Nilichojifunza Usijiapize kitofanya kitu bila kuwa na ufaham wa namna ya kuepukana nacho.

Vipi; Nyie wenzangu mlitumia njia gani kujizuia msiyafanye mlojipangia?

TUJUZANE TAFADHALI
 
uungwana classic

uungwana classic

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2014
Messages
1,954
Points
2,000
uungwana classic

uungwana classic

JF-Expert Member
Joined Jun 9, 2014
1,954 2,000
1.kunywa pombe , kiukweli mpaka sasa sijagusa,sijawahi kushawishika mpaka sasa na Mungu anijalie mbeleni pia nisishawishike
2.kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine, hili kidogo lilianza kunilemea baada yakupenda sana lakini kwa vituko nlivyoona nimelirudia tena
3. Kupiga mwanamke wangu yaani mpenzi hata akinikosea vipi na mpaka sasa nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa lakini sijaoa so sijui huko mbele Mungu anikumbushe,hapa namaanisha ile kupiga kama unaua nyoka, ila kibao kimoja cha hasira atalimwa tu akikaa karibu hili nimejihalalishia japo sijafikiaga hatua hiyo mpaka sasa nlipo
4.kuwa na mtoto nje ya ndoa, japo mpaka sasa hakuna ambaye na uhakika naye ila nishaligeuka hilo kiapo na huko mbele naweza kuwa naye maana sina mpango wakuoa haraka halafu natamani kuwa na mtoto so mama wa mtoto akiwa wife material basi ntakuwa nimefanikiwa
1.kusomea ualimu,mpaka sasa nimeshaliruka lakini ni fani nayoishemu sana na namuoneaga wivu anayependa hiyo fani natamani kuependa ila nimeshindwa kuipenda,mm sipendi kusoma vitu ambavyo siwezi kuviapply moja kwa moja kwenye maisha yangu hilo ndo limenifanya ualimu kusomea unishinde
 
gidume

gidume

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Messages
572
Points
500
gidume

gidume

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2017
572 500
Kwa namna hiyo,inaleta picha kwamba wake za watu wanaliwa sana 90%?. Pamoja na kauli mbiu kubwa ”MKE WA MTU SUMU”?
Mke wa mtu sumu kweli..huwa yanatokea ila sio ya kutaongelea sana..
 
kakamkubwa

kakamkubwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Messages
815
Points
1,000
kakamkubwa

kakamkubwa

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2013
815 1,000
Mipango ni mizuri ila Mungu pia anapanga yake...

Nishwahi jiapiza sitajiua
Ila kuna siku yalinifika,nikasaidiwa tu

Ila from there unakuwa very strong unachukulia poa...growth is not comfortable
Itakuwa mhehe wewe?
 
Chief Sam

Chief Sam

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Messages
801
Points
1,000
Chief Sam

Chief Sam

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2019
801 1,000
Mwenyezi Mungu nisamehe dhambi zangu.mi binadamu sijakamikika
 
Kirokonya

Kirokonya

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Messages
1,193
Points
2,000
Kirokonya

Kirokonya

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2017
1,193 2,000
Nimeyashinda yote ila Gari sina,kitu ambacho sijawahi tamani na sitakuja tamani ni Tigo/Utumbo ,pia kwenda kwa Mganga hapana
Mkuu usikaze shingo sana.
Kuna kulengeshwa kwenye tigo bila hiyari wala kujua, hasa zile tigo zilizolegea marinda!
Wenye tigo zao zilizozoea hizo mambo anajidai kuielekeza kunakostaili (husema ngoja niweke mwenyewe) kumbe nanga anailoweka mtoni, utashtukia baadae sana wakati nanga inatoka na tope.
 
kakamkubwa

kakamkubwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Messages
815
Points
1,000
kakamkubwa

kakamkubwa

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2013
815 1,000
Nilijisemea kuwa sitakuja kumuacha mwanamke niliyezaa naye. Lakini nimechemka tayari.
 
J

juma mpemba

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Messages
1,583
Points
2,000
J

juma mpemba

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2017
1,583 2,000
mi wake za watu nimekula,waganga nimeenda..tgo nimeonja ila nishatubu...wake za watu nimewakula..ila watoto no...N;B: KWA MGANGA Ni noma maana unaeka nafsi yako karibu na shetani..kula tigo nayo ni hatari kama unakumbuka sodoma na gomora..ila wake za watu watamu bwana
 

Forum statistics

Threads 1,343,065
Members 514,915
Posts 32,772,613
Top