NetworkEngineer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,974
- 1,210
Uzi mzuri sana, nasubiri atakayekuja kutoa ushuhuda wa nchi kama Gambia, Chad, cabon, Togo..nchi hazisikiki sanaaaa..nchi za ulaya hatuzitaki maisha yao tunayajua kwenye Movie

Vipi
Spika wao yupoje
Kwenda Na kurudi Cameroon nauli bei gani? Gharama zingine pia za kuishi fafanua mkuu,eg makazi,
Ana akili timamu sio kama mkatwa mandoleVipi
Spika wao yupoje
Ungeanzisha Uzi special kuhusu hilo.Mbona ujatwambia kuwa rais wao anaongoza nchi akiwa ufaransa? Yani ata vikao muhimu vya nchi anafinyia kwenye video conference yeye yupo ufaransa mawaziri wapo cameroon.