Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,310
- 40,112
Hawana misambwanda hukoKiongozi we hupendi misambwanda?
Sura kama za kaka zao

Hapa si tunamzungumzia spika mjomba?Hawana misambwanda huko
Sura kama za kaka zao
Teh ...Hapa si tunamzungumzia spika mjomba?
Vp magari yao kama bus ziko kama zetu na pikipki wanatumia sana?1. Kuna vyakula vya kila aina vingi na ni bei rahisi kwasababu serikali ina control bei za bidhaa huwezi kukuta mtu anajipangia bei ovyo ovyo.
Kuna vyakula vya kila namna mfano ukinunua mkate utaulizwa uwekewe maharage, au chocolate, au samaki wa mchuzi au wa kubanikwa, au butter n.k
2. Ni wakarimu sana hasa kwa wageni hata polisi wakijua wewe ni mgeni wana kutreat kwa heshima siyo kama hapa wageni ni mtaji kwa polisi.
3. Ni wapenda mazoezi na ni magiant kuanzia wanawake mpaka wanaume kufanya mazoezi kwao ni kama culture.
4. Pesa yao ina thamani kuliko yetu na unaweza itumia kokote na ya west africa mfano 100USD kwao ni kama 50000 cefa.
Ila mzunguko wa pesa ni mdogo sana kupata pesa ni ngumu.
5. Kufungua biashara kuna vibari vingi na siyo kama huku eti unakuta mtu ana duka la nguo anauza karanga na vocha kwao hakuna. Kama ni duka la nguo la nguo tu.
6. Huduma za afya ni za kiwango cha juu sana yani sijawahi kuona Tanzania hata kwenye hospital kubwa. Ukienda hospital kule utaflshiwa mwili kabla ya kuwekewa dawa yoyoyote na kila mara wakibadirisha dawa wana kuflash kwanza mwili pia utazungumza na dr atakuuliza matatizo yako kuanzia unywele mpaka unyayo. Hakuna madawa fake wana dawa inafanana panadol ukiwa na kikihozi unameza kidonge kimoja tu kwisha habari yake.
7. Hakuna daladala wana vigari kama passo ndo taxi zao.
8. Wana socialize sana hata kwenye usafiri wa umma siyo kama huku mtu mmoja anaweza anzisha story wote wanachangia yani hakuna ile eti unakaa kimya ni makelele mwanzo mwisho. Hata ukiwa barabarani mtu anakuchangamkia kama anakujua ni wakarimu sana.
9. Miji yao haijajengwa kama huku watu hawana ela kama huku maana kupata ela kwao ni ngumu sana ila kula unakula sana.
10. Kuna baridi kama la mbeya na mvua kila mara.
11. Bado wanaheshimu sana mila zao na ni vigumu kukuta watoto wanafanya mapenzi halafu madada wa kule hawagawi uroda kama soda kugawa uroda kwao ni ngumu sana.
12. Kuna upungufu wa mabinti warembo maana mabinti wengi mabaunsa na wana sura kama za kaka zao.
13. Cameroon imegawanyika katika sehemu mbili, wanakozungumza kingereza na wanaozungumza kifaransa. Wanakozungumza kifaransa wamesoma sana na ndiyo wanajiona wajanja hata raisi wao ametoka katika jamii ya wafaransa.
Haya ni machache niliyo yashuhudia Cameroon bila kusahau kwamba wanakula panya na ngedere na wanajua kupika kweli kweli siyo kama sisi.
Au tuwape naibu spika wetu akasawazishe mambo?Teh ...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Au tuwape naibu spika wetu akasawazishe mambo?
Kumbe huduma za afya siyo nzuri kama ilivyo tz kama kuna hakina bashite huko inaonyesha kuna wagonjwa wa kichaa wengi huko siyo pa kwendaAmefanana na Bashite wenu.
TubadilishaneAu tuwape naibu spika wetu akasawazishe mambo?
Tulimchukua kwa mkopoMbona kama na yeye katokea huko
Mbona ujatwambia kuwa rais wao anaongoza nchi akiwa ufaransa? Yani ata vikao muhimu vya nchi anafinyia kwenye video conference yeye yupo ufaransa mawaziri wapo cameroon.
Observation na conclusion yako ni ya kijima mno na short sighted! Haina tofauti na hadithi ya yule kipofu aliyeeona punda kwa muda mfupi...Wanakuwekea drip kuondoa somo mwlini na madawa uliyotumia kabla
Hapana. Nani ataimbisha kwaya ya malaika mbinguni? Shurti atokee Bongo. Mpira tumefeli, hata kwaya nayo?Tubadilishane
Namba moja
kusafiri ktk nchi ya ugenini ni sehemu ya kijifunza.1. Kuna vyakula vya kila aina vingi na ni bei rahisi kwasababu serikali ina control bei za bidhaa huwezi kukuta mtu anajipangia bei ovyo ovyo.
Kuna vyakula vya kila namna mfano ukinunua mkate utaulizwa uwekewe maharage, au chocolate, au samaki wa mchuzi au wa kubanikwa, au butter n.k
2. Ni wakarimu sana hasa kwa wageni hata polisi wakijua wewe ni mgeni wana kutreat kwa heshima siyo kama hapa wageni ni mtaji kwa polisi.
3. Ni wapenda mazoezi na ni magiant kuanzia wanawake mpaka wanaume kufanya mazoezi kwao ni kama culture.
4. Pesa yao ina thamani kuliko yetu na unaweza itumia kokote na ya west africa mfano 100USD kwao ni kama 50000 cefa.
Ila mzunguko wa pesa ni mdogo sana kupata pesa ni ngumu.
5. Kufungua biashara kuna vibari vingi na siyo kama huku eti unakuta mtu ana duka la nguo anauza karanga na vocha kwao hakuna. Kama ni duka la nguo la nguo tu.
6. Huduma za afya ni za kiwango cha juu sana yani sijawahi kuona Tanzania hata kwenye hospital kubwa. Ukienda hospital kule utaflshiwa mwili kabla ya kuwekewa dawa yoyoyote na kila mara wakibadirisha dawa wana kuflash kwanza mwili pia utazungumza na dr atakuuliza matatizo yako kuanzia unywele mpaka unyayo. Hakuna madawa fake wana dawa inafanana panadol ukiwa na kikihozi unameza kidonge kimoja tu kwisha habari yake.
7. Hakuna daladala wana vigari kama passo ndo taxi zao.
8. Wana socialize sana hata kwenye usafiri wa umma siyo kama huku mtu mmoja anaweza anzisha story wote wanachangia yani hakuna ile eti unakaa kimya ni makelele mwanzo mwisho. Hata ukiwa barabarani mtu anakuchangamkia kama anakujua ni wakarimu sana.
9. Miji yao haijajengwa kama huku watu hawana ela kama huku maana kupata ela kwao ni ngumu sana ila kula unakula sana.
10. Kuna baridi kama la mbeya na mvua kila mara.
11. Bado wanaheshimu sana mila zao na ni vigumu kukuta watoto wanafanya mapenzi halafu madada wa kule hawagawi uroda kama soda kugawa uroda kwao ni ngumu sana.
12. Kuna upungufu wa mabinti warembo maana mabinti wengi mabaunsa na wana sura kama za kaka zao.
13. Cameroon imegawanyika katika sehemu mbili, wanakozungumza kingereza na wanaozungumza kifaransa. Wanakozungumza kifaransa wamesoma sana na ndiyo wanajiona wajanja hata raisi wao ametoka katika jamii ya wafaransa.
Haya ni machache niliyo yashuhudia Cameroon bila kusahau kwamba wanakula panya na ngedere na wanajua kupika kweli kweli siyo kama sisi.
Yani kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwenye miji wanatumia vigari ka vipasso hivi ndo taxHebu fafanua kidogo hapo kwenye 7 na 8. 7.Hawana daladala wanatumia vi Passo.
8. Wakiwa kwenye usafiri wa umma ni full story...
Tofauti ya daladala na usafiri wa umma ni nini?
Atatusaidia kutibu ugonjwa wa soka. Jamaa anaujua Amunike anasubiri sanaKumbe huduma za afya siyo nzuri kama ilivyo tz kama kuna hakina bashite huko inaonyesha kuna wagonjwa wa kichaa wengi huko siyo pa kwenda
Kwao umeme na maji barabara vikoje? Vijijini nako rea IPO? Nchi ni kubwa sana?
Yaani ukimaanisha kama hapa kwetu team Mbagala inayoenda Kariakoo ipelekwe na viPasso??Yani kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwenye miji wanatumia vigari ka vipasso hivi ndo tax
Halafu kusafiri safari ndefu ndefu mfano mji na mji ndo wana mabus sasa humo ndo story kama zote