birungi
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 391
- 16
mi nilishawahi enda hapo mwaka juzi naumwa jino kwelikweli.nilivyoenda kuandikisha reception wakaniuliza nna appointment na dokta?? nikawambia hapana jino limenianza jana yake usiku.sasa maumivu ya jino yana appointment? nikaambiwa sitapata matibabu bila appointment nilijiendea zangu kwa kairuki nikatibiwa fasta.