AsanteUsiolewe nae heri ukafa single kuliko mateso utakayompatia huko ndani please muache atampata wa kumfaa
AsanteEndelea hivyo hivyo mpaka mvi zikuote. Ukishazeeka.. utapata huyo mwanaume unayemtaka .kenge wewe
TrueHili ndio tatizo wanalokumbana wanawake wengi,matokeo yake ukimkubalia huyo akuoe na mkishakuwa na watoto utaona sasa wale uliokuwa unawataka wewe ndio wanakuja tena kwa fujo,na hatimaye usipokuwa na msimamo utajikuta unaanza kuchepuka...
Ni kweli.Kwa iyo kama umpend na unataka akuoe plan yako n nn juu ya furaha ya maisha yake.. Au umeamua kumkera na kumboa kwenye ndoa mpaka atakapo atakapo aga dunia
Acha akatafute haki yake ya kupendwa na kupenda ww pambana na hali yako na aibu zako kulko kumfanya jamaa wa watu kama toi ambalo halijui thaman ya mda
Umri umekwenda umefika ngapi kwa sasa?
SeriouslyFanya niwe mchepuko wako