Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,211
- 79,685
Ndio nin sasa!!!Hii ni hoja ya shabiki lialia kutoka msimbazi ila baada ya game mpaka leo sijui kapotelea wapi ndugu yangu Kaghambe popote ulipo toka uje kusema neno hapa
View attachment 2818484
Upo humu kufanya nini ukielewa hilo hutauliza hilo swali!Ndio nin sasa!!!
Ili iweje???
Utopolo ni utopolo tu
Ndio nin sasa!!!
Ili iweje???
Utopolo ni utopolo tu
Kaka kutunza risiti ni muhimu sana🤣🤣🤣🤣🤣ila humu Watu wafukunyuzi