Peugeot 504 gani ina speed ya 200kmh?Ni mwaka 1986 na PEUGEOT 504
Safari ilianzia Iringa Railway Hotel saa 12 asubuhi
Dar es salaam saa 5 asubuhi.... ilipokuwa Embassy Hotel.
Kipindi hicho kulikuwa hakuna tochi barabarani.
Magari yalikuwa machache sana barabarani....Hivyo naweza kufuta kisahani 200 KM/H..baadhi ya maeneo.
Sehemu ya kuheshimu ilikuwa ni mikumi tu...... sababu ya wanyama......
Iyofi iyofi...nilikuwa nakamua manake 504 ina balance nzuri sana..... hasa ikiwa na kamzigo kidogo.
Ndani ya gari tulikuwa watu wanne(4) tu...wote tumefunga mikanda,
Zingatia Morogoro Road ilikuwa bado kupanuliwa...hivyo muda mwingi ulipotea baada ya kuingia maeneo ya Luguruni mpaka Town.
View attachment 3678799
YOU BETTER WATCH YOUR BACK.....HALI NI MBAAAAAYA.
Labda kwa maeneo mengine ya nchi ila barabara ya kusini Dar - Mbeya ilipewa kipaumbele sana.Hii ni chai na sambusa mbichi...... kwa kipindi hicho huwezi kutumia huo muda iringa to dsm..... Yes nakubali magari yalikuwa machache..... ila miundo mbinu ilikuwa hovyo kupita maelezo .......
Modification za wachagga chombo imefungwa Kugelfischer injection,,,turbo....piston kubwaa...kimsingi ni engine ya 505 V6....mafundi wake ni Arusha TU,,,,vifaa ni Nairobi TU.....Namkumbuka fundi wake mmoja anaitwa Ringo alikuwa anaishi Kijenge......''funga laina kiti bwashee""Peugeot 504 gani ina speed ya 200kmh?
Shehee..... wakati huo lami bado mpya mpya..... TANZAM Road hiyo....sisi ndio wa kwanza kwanza kuitoa "Bikra"Hii ni chai na sambusa mbichi...... kwa kipindi hicho huwezi kutumia huo muda iringa to dsm..... Yes nakubali magari yalikuwa machache..... ila miundo mbinu ilikuwa hovyo kupita maelezo .......
Mbona hizo gari zilikuwa na kms 120 na chache 180. Lakini kipindi hicho sijui kama barabara zilikuwa nzuri uweze kutembea hata hiyo 120kmsNi mwaka 1986 na PEUGEOT 504
Safari ilianzia Iringa Railway Hotel saa 12 asubuhi
Dar es salaam saa 5 asubuhi.... ilipokuwa Embassy Hotel.
Kipindi hicho kulikuwa hakuna tochi barabarani.
Magari yalikuwa machache sana barabarani....Hivyo naweza kufuta kisahani 200 KM/H..baadhi ya maeneo.
Sehemu ya kuheshimu ilikuwa ni mikumi tu...... sababu ya wanyama......
Iyofi iyofi...nilikuwa nakamua manake 504 ina balance nzuri sana..... hasa ikiwa na kamzigo kidogo.
Ndani ya gari tulikuwa watu wanne(4) tu...wote tumefunga mikanda,
Zingatia Morogoro Road ilikuwa bado kupanuliwa...hivyo muda mwingi ulipotea baada ya kuingia maeneo ya Luguruni mpaka Town.
View attachment 3678799
YOU BETTER WATCH YOUR BACK.....HALI NI MBAAAAAYA.
Wakati huo lami ilikuwa mpya......miaka ya tisini ndio barabara ilipata changamoto sana......Mbona hizo gari zilikuwa na kms 120 na chache 180. Lakini kipindi hicho sijui kama barabara zilikuwa nzuri uweze kutembea hata hiyo 120kms
Wahenga wa JF leo mmeibuka😀Sawa.....