Orayt.......This one is noted and filed.......Kunradhi kaka...
Mimi siishi Dar....so huwa naandikia from Kilwa to Dar....
Pearl naomba nipigie.........:hungry:ah ah ah lol Babu!Nyagi ukichanganya na pweza cku ya idd,ukaweka na kile cha Arusha kibichiiiiiiiiiiiiiii,teketeke unafika pale mahala alipojificha Ankal Gadafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hujambo pearl?
Orayt.......This one is noted and filed.......
Pearl naomba nipigie.........:hungry:

Sijui, hebu twende zetu PM tukadiskasi. Hope tutakubaliana......!
Gademu! huku tripoli vikosi vya gadaffi vimetungua mnara wa zantel basi netiweki ni mbaya sana!
halaf Fellow tablet mwambie Keren Happuch wajanja wameniibia saa yangu ya water proof aisee!
Aisee pole sana fellow tablet.... Naamini raba mtoni zile unazomringishiaga Husninyo ziko salama....Gademu! huku tripoli vikosi vya gadaffi vimetungua mnara wa zantel basi netiweki ni mbaya sana!
halaf Fellow tablet mwambie Keren Happuch wajanja wameniibia saa yangu ya water proof aisee!
Mi nshavuka steji moja zaidi......... Tayari nshauona mwezi..... Kesho mi nnapareee!......Mkoloni analijua hilo, Koo langu nshalitaarifu na hakuna wa kunizuia!ODM hapo kwenye kuandama nipo na wewe, uandame usiandame mi kesho ni IDD tu hata mkoloni analijua hilo. hakuna kitu kibaya ka unapika maandazi ya kesho then unakuta haujaandama! lol
mi kesho ni sikukuu bana!
Mkuu ODM nami nakuambia kamwe hautakua pekee kesho
Na si unajua nilivyo na subira? ............waiting!huko pm utaniharibia swaumu,swaumu yangu ina ndimu inachacha haraka. see u baada ya iftah

Jibu PM yangu, nshakuelekeza kituo. Hapa wanga wengi............

babu nikukute wapi leo usiku?kumbuka tunaswali talawee
Khaa! kumbe upo? ama kweli love iz blind! yaani skukuona kabisa!Wewe Kloro....vibaya hivyo eti!!!..sijui nilie kwanza au...!!!
Khaa! kumbe upo? ama kweli love iz blind! yaani skukuona kabisa!
unajiskiaje ulipoona post zangu? mwenzio nusura nizimie nilipoona umejibu post yangu.
Aisee pole sana fellow tablet.... Naamini raba mtoni zile unazomringishiaga Husninyo ziko salama....
Fello tablet, we si nlikuacha Husninyo? Unataka kumfanya nini Keren wangu?
sasa mkikimbila wote huko nani atabaki hapa???Sijui, hebu twende zetu PM tukadiskasi. Hope tutakubaliana......!