The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,892
- 4,870
Nawasalimu kwa jina la JF, shuhuda ziendelee.
Mara nyingi mahusiano ya wanamme iwe ni mabaya au mazuri, huwa ya kulindana hasa linapokuja suala la mapenzi au mahusiano. Kuna wakati jamaa zetu wanakosea kwa wapenzi wao, hadi inafika kipindi shemeji zetu wanatafuta sie best friends zao kuweza kushauri/kuwashauri rafiki zetu wa kiume kubadirika. Nakuja na shuhuda nilizoweza kunusuru mahusiano ya jamaa zangu ,some of them works and others didn't work.
1. Hii imetokea wiki kadhaa zilizopita, nlipigiwa simu kwa namba ngeni, hakujitambulisha lakini sauti yake niliikumbuka baada ya muda kidogo.
Alikuwa ni shem alienipokea nifikie home kwao wakati nipo Mji X. Aliniuliza unajua tabia za Y katika mahusiano
. Kiukweli jamaa yangu namjua tabia za kuwa na wadada wengi, nliweza kumtetea jamaa hadi mwisho, inapokuwa ye alitaka waachane nikashauri ya kushauri ila yeye ndo atoe maamuzi ya mwisho.
Baada ya hapo kila jambo ambalo best wangu analifanya na michepuko yake akawa ananambia hata ambayo mie siijui lakini bado jamaa nilimkingia kifua kuwa ni shetani anampitia. Hapo jamaa yangu hajui kuwa ninawasiliana na shem kuhusu hizo issue ma wala jamaa yangu hajanishirikisha lolote kuwa wanapitia wakati mgumu.
Mwishowe shem kaamua tu kuendelea na jamaa, ijapokuwa ashaanza onesha interest namie ,kutaka kuchatchat kila muda, kumpa attention lakini namkwepa ,coz tunaheshimiana na jamaa yangu.
2. Jamaa huyo hapo tena niliyemtaja kwa jina la Y, kuna dada sikuwa nikimfahamu na sijawahi kumuona. Ilikuwa mwaka 2020 akanitafuta na kuniuliza kama namfahamu Y, nikajibu ndiyo. Akanisimulia yote wanayopitia na jamaa mojawapo ni kuwa jamaa hapokei simu wala hajibu sms,anampa mpenzi wake mwingine apokee simu nk, walikubaliana waende wakangonoke jamaa hatua za mwisho akageuza mawazo, hapo dada huyu katembea umbali mrefu kumfata jamaa.
Hapa nilimchana jamaa kila kitu jamaa yangu akanambia sawa nitamuwa napokea simu zake, lakini baadae nkaja jua jamaa kampiga chini huyu dada. Pia huyu dada akaanza niletea mazoea ya ajabu, akanitongoza nkamkatalia
saivi kabaki kuniita kaka.
3. Huyu tumuite Kenny sio jina halisi, Kenny ni jamaa aliebarikiwa kipawa cha kumuelekeza mtu jambo hadi ukaelewa, japo sio mwalimu. Katika harakati za kutafuta maisha kupitia kufundisha fundisha ,akaja pata mtoto wa PCB pale Dom sec. Huyu mtoto alitokea kumuelewa jamaa. Basi maisha yakaendelea na jamaa akiniabia juu ya mahusiano yake. Huyu dada alikuja kupata huduma dukani kwetu, tukazoeana hapo, asijue mie na Kenny ni marafiki wa kushibana, story mbili tatu za shule ,siku ikaisha.
Dada huyu wa kishua kiasi alikuja nicheki fb akanipa namba yake namie bila hiyana nikaipokea na kuanza chati nae WhatsApp na normal texts. Akarudi likizo ya form 5 ,then akaenda kumalza form6 this year.
Kipindi hicho chote najua anatoka na jamaa yangu lakini yeye akaniambia ni SINGLE
. Alionesha red flag za kunikubali lakin sikuruhusu Hilo japo kuna siku alinialika kwao ila nkapotezea. Sikutaka kuvunja uhusiano wangu na Jamaa pia jamaa na huyu dada.
4. Kenny tena, alikuwa na dada anaemfundisha since o level hadi kumaliza na kufaulu kwa div 2 nzuri. Kitaa watu walijua Kenny atakuja kuoa hyu binti ukiangaliaa jinsi jamaa alivojitoa tangu form1 hadi 4. Kupitia ukaribu wangu na Kenny huyu dada akanifahamu na kuchukua namba yangu. Kwakuwa mie ni mtu wa story story huyu dada ndo akanigeuza kiburudisho chake. Sikutaka mazoea nae sana kwasababu niliona anakija race sana. Last time nimechat nae mwaka jana yuko form 5 lakini jana ye na kaka yake wamenitafuta nkachati nao yakaisha. Huyu dogo hawako kwenye mahusiano mazuri na jamaa kwa sasa hivyo nami najiweka mbali nisionekane nachukua nafasi ya jamaa.
5. Hii ni ndefu lakini kwa ufupi ntaiwasilisha, Dada nimuite Mwajuma alipewa ujauzito na rafiki yangu. Jamaa yangu hakutaka kunambia lakini huyu dada alinifahamu kwasabab tumepiga picha nyingi tukiwa pamoja na huyu jamaa yangu. Kiufupi kundi letu tuko wa3, alinifata messenger mnamo 2019 akanieleza mambo yote yanayojiri na jamaa ambayo hata jamaa ye hakunambia.
Jamaa alikataa mimba ya huyu binti, na kwao binti walimuambia asirudi na tumbo home, hyu binti ye ni mwanafunzi kwa wakati huo ngazi ya certificate ,so alipatia ujauzito chuo.
Binti alikuwa akitaka kutoa ujauzito lakini nilijitahidi sana asitoe hiyo mimba, nashukuru miezi sita ijayo binti alijifungua salama.
Kutokana na kumsaidia ushauri, kifedha kidogo na kumpa attention ,huyu dada alitokea kunipenda sana akatafuta hadi mawasiliano ya ndugu zangu, na kuna wakati alikuwa anataka hadi kuongea na wazee wangu. Binti alinigamkia ananipenda nimuoe. NILIKATAA KATA KATA siwezi oa mke wa mtu ambaye mmewe ni jamaa yangu na hajafariki, pia siwezi oa mama mwenye mtoto (am sorry for single mom). Binti alinisisitiza sana nimuoe lakini nilikataa hadi kesho. Na kubwa kwa Hilo yule ni jamaa yangu siwezi kumzunguka eti nitoke na wewe hata kmapenzi itakuwa sio sawa.
Ikumbuke hapo jamaa karibia miezi 9 yote hajui kama naongea na mkewe huku kutokana na kuwa jamaa hakai na huyo dada na mie niko mbali na jamaa. Basi huyu dada kuna siku akamchana jamaa kuwa ni afadhali angeolewa na mie kwani ye alikataa mimba, hakutunza mimba hadi anajifungua, hajatulia kabisa.
Jamaa kuambiwa hivo akamind na akanimind, kuna napigiwa simu nilijua analotaka kusema sikupokea nikasema anitext, tukachat akaniambia nilichifanya sio vizuri kwanni nimsaidie Mwajuma nini na nn sijui, nkamtell kaka nilimsaidia kama watu wengine wanaohitaji msaada napesa nilizokuwa Nampa ni za kawaida tuu. Basi huyu dada akapigwa mkwala asitutafute tena sie. Dada aliendelea kunicheki mara kadhaa, wakiwa wanagombana basi mie ndo msuruhishaji wao.
Last time jamaa kanambia hana mpango wa kuoa huyu dada na anajuta kumfahamu na kuzaa naye. Sababu ni mtu muongeaji sana jambi dogo hapo mtakesha pia ni mtu wa suspect sana
. Kiuhalisia huyu dada ni maneno mengi sana kwa sie tusiependa kelele ni kero sana hivo jamaa kasema ataoa mtu mwingine kabisa na mtoto atamchukua akiwa mkubwa kiasi.
Kwa leo tuishie hapa.
Na sie wakaka tujitahidi basi tunapofichiana mabaya nasie tupunguze ubaya kuliko kuonekana tunawakingia kifua kwenye mabaya jambo ambalo ni kweli.
Udugu wa Wanamme udumu.
Mara nyingi mahusiano ya wanamme iwe ni mabaya au mazuri, huwa ya kulindana hasa linapokuja suala la mapenzi au mahusiano. Kuna wakati jamaa zetu wanakosea kwa wapenzi wao, hadi inafika kipindi shemeji zetu wanatafuta sie best friends zao kuweza kushauri/kuwashauri rafiki zetu wa kiume kubadirika. Nakuja na shuhuda nilizoweza kunusuru mahusiano ya jamaa zangu ,some of them works and others didn't work.
1. Hii imetokea wiki kadhaa zilizopita, nlipigiwa simu kwa namba ngeni, hakujitambulisha lakini sauti yake niliikumbuka baada ya muda kidogo.
Alikuwa ni shem alienipokea nifikie home kwao wakati nipo Mji X. Aliniuliza unajua tabia za Y katika mahusiano
. Kiukweli jamaa yangu namjua tabia za kuwa na wadada wengi, nliweza kumtetea jamaa hadi mwisho, inapokuwa ye alitaka waachane nikashauri ya kushauri ila yeye ndo atoe maamuzi ya mwisho.Baada ya hapo kila jambo ambalo best wangu analifanya na michepuko yake akawa ananambia hata ambayo mie siijui lakini bado jamaa nilimkingia kifua kuwa ni shetani anampitia. Hapo jamaa yangu hajui kuwa ninawasiliana na shem kuhusu hizo issue ma wala jamaa yangu hajanishirikisha lolote kuwa wanapitia wakati mgumu.
Mwishowe shem kaamua tu kuendelea na jamaa, ijapokuwa ashaanza onesha interest namie ,kutaka kuchatchat kila muda, kumpa attention lakini namkwepa ,coz tunaheshimiana na jamaa yangu.
2. Jamaa huyo hapo tena niliyemtaja kwa jina la Y, kuna dada sikuwa nikimfahamu na sijawahi kumuona. Ilikuwa mwaka 2020 akanitafuta na kuniuliza kama namfahamu Y, nikajibu ndiyo. Akanisimulia yote wanayopitia na jamaa mojawapo ni kuwa jamaa hapokei simu wala hajibu sms,anampa mpenzi wake mwingine apokee simu nk, walikubaliana waende wakangonoke jamaa hatua za mwisho akageuza mawazo, hapo dada huyu katembea umbali mrefu kumfata jamaa.
Hapa nilimchana jamaa kila kitu jamaa yangu akanambia sawa nitamuwa napokea simu zake, lakini baadae nkaja jua jamaa kampiga chini huyu dada. Pia huyu dada akaanza niletea mazoea ya ajabu, akanitongoza nkamkatalia
saivi kabaki kuniita kaka.3. Huyu tumuite Kenny sio jina halisi, Kenny ni jamaa aliebarikiwa kipawa cha kumuelekeza mtu jambo hadi ukaelewa, japo sio mwalimu. Katika harakati za kutafuta maisha kupitia kufundisha fundisha ,akaja pata mtoto wa PCB pale Dom sec. Huyu mtoto alitokea kumuelewa jamaa. Basi maisha yakaendelea na jamaa akiniabia juu ya mahusiano yake. Huyu dada alikuja kupata huduma dukani kwetu, tukazoeana hapo, asijue mie na Kenny ni marafiki wa kushibana, story mbili tatu za shule ,siku ikaisha.
Dada huyu wa kishua kiasi alikuja nicheki fb akanipa namba yake namie bila hiyana nikaipokea na kuanza chati nae WhatsApp na normal texts. Akarudi likizo ya form 5 ,then akaenda kumalza form6 this year.
Kipindi hicho chote najua anatoka na jamaa yangu lakini yeye akaniambia ni SINGLE

. Alionesha red flag za kunikubali lakin sikuruhusu Hilo japo kuna siku alinialika kwao ila nkapotezea. Sikutaka kuvunja uhusiano wangu na Jamaa pia jamaa na huyu dada.4. Kenny tena, alikuwa na dada anaemfundisha since o level hadi kumaliza na kufaulu kwa div 2 nzuri. Kitaa watu walijua Kenny atakuja kuoa hyu binti ukiangaliaa jinsi jamaa alivojitoa tangu form1 hadi 4. Kupitia ukaribu wangu na Kenny huyu dada akanifahamu na kuchukua namba yangu. Kwakuwa mie ni mtu wa story story huyu dada ndo akanigeuza kiburudisho chake. Sikutaka mazoea nae sana kwasababu niliona anakija race sana. Last time nimechat nae mwaka jana yuko form 5 lakini jana ye na kaka yake wamenitafuta nkachati nao yakaisha. Huyu dogo hawako kwenye mahusiano mazuri na jamaa kwa sasa hivyo nami najiweka mbali nisionekane nachukua nafasi ya jamaa.
5. Hii ni ndefu lakini kwa ufupi ntaiwasilisha, Dada nimuite Mwajuma alipewa ujauzito na rafiki yangu. Jamaa yangu hakutaka kunambia lakini huyu dada alinifahamu kwasabab tumepiga picha nyingi tukiwa pamoja na huyu jamaa yangu. Kiufupi kundi letu tuko wa3, alinifata messenger mnamo 2019 akanieleza mambo yote yanayojiri na jamaa ambayo hata jamaa ye hakunambia.
Jamaa alikataa mimba ya huyu binti, na kwao binti walimuambia asirudi na tumbo home, hyu binti ye ni mwanafunzi kwa wakati huo ngazi ya certificate ,so alipatia ujauzito chuo.
Binti alikuwa akitaka kutoa ujauzito lakini nilijitahidi sana asitoe hiyo mimba, nashukuru miezi sita ijayo binti alijifungua salama.
Kutokana na kumsaidia ushauri, kifedha kidogo na kumpa attention ,huyu dada alitokea kunipenda sana akatafuta hadi mawasiliano ya ndugu zangu, na kuna wakati alikuwa anataka hadi kuongea na wazee wangu. Binti alinigamkia ananipenda nimuoe. NILIKATAA KATA KATA siwezi oa mke wa mtu ambaye mmewe ni jamaa yangu na hajafariki, pia siwezi oa mama mwenye mtoto (am sorry for single mom). Binti alinisisitiza sana nimuoe lakini nilikataa hadi kesho. Na kubwa kwa Hilo yule ni jamaa yangu siwezi kumzunguka eti nitoke na wewe hata kmapenzi itakuwa sio sawa.
Ikumbuke hapo jamaa karibia miezi 9 yote hajui kama naongea na mkewe huku kutokana na kuwa jamaa hakai na huyo dada na mie niko mbali na jamaa. Basi huyu dada kuna siku akamchana jamaa kuwa ni afadhali angeolewa na mie kwani ye alikataa mimba, hakutunza mimba hadi anajifungua, hajatulia kabisa.
Jamaa kuambiwa hivo akamind na akanimind, kuna napigiwa simu nilijua analotaka kusema sikupokea nikasema anitext, tukachat akaniambia nilichifanya sio vizuri kwanni nimsaidie Mwajuma nini na nn sijui, nkamtell kaka nilimsaidia kama watu wengine wanaohitaji msaada napesa nilizokuwa Nampa ni za kawaida tuu. Basi huyu dada akapigwa mkwala asitutafute tena sie. Dada aliendelea kunicheki mara kadhaa, wakiwa wanagombana basi mie ndo msuruhishaji wao.
Last time jamaa kanambia hana mpango wa kuoa huyu dada na anajuta kumfahamu na kuzaa naye. Sababu ni mtu muongeaji sana jambi dogo hapo mtakesha pia ni mtu wa suspect sana

. Kiuhalisia huyu dada ni maneno mengi sana kwa sie tusiependa kelele ni kero sana hivo jamaa kasema ataoa mtu mwingine kabisa na mtoto atamchukua akiwa mkubwa kiasi.Kwa leo tuishie hapa.