- Thread starter
- #101
ila napo kuna karaha kama unakunjwa bia kumi afande anakuambia unakunjywa ngapi zote zinawekwa mezanii hii nilikutana nayo mess moja hatarii sana akasema hakuna barmaid hapa ha haDawa ni kunywa pombe kambini au Police Mess.
ila napo kuna karaha kama unakunjwa bia kumi afande anakuambia unakunjywa ngapi zote zinawekwa mezanii hii nilikutana nayo mess moja hatarii sana akasema hakuna barmaid hapa ha haDawa ni kunywa pombe kambini au Police Mess.
kuna messi moja naipendaga nyuma ya sheli mwenge pale ila lazima uwe na mapot wa pale ndio utatamba maana uchelewi kuchezea kichapoila napo kuna karaha kama unakunjwa bia kumi afande anakuambia unakunjywa ngapi zote zinawekwa mezanii hii nilikutana nayo mess moja hatarii sana akasema hakuna barmaid hapa ha ha
Habali wakuu
Tunakoelekea mwisho wa mwaka ngoja niwape story nyepesi nyepesi kama ukufanya malengo mwaka huu usikate tamaa mwakani unayo nafasi ya kufanya makubwa.
Back to the point wiki iliopita week days kama juma tano nilikuwa nafanya kazi zangu out of office ilivyofika saa sita mchana nikawa nimemaliza niko free tuu nikaingia pub flani mitaa ya mori pale ,nimeagiza gambe mhudumu akasema njoo ujifiche kaunta kwa ndani hii mida ya kazi muda wa kupiga vyombo bado ,ebwana nikazama nikakutana na wala gambe
wengine kaunta pale kama wa nne vyombo vikaendelea baada ya nusu saa naona mtutu wa bunduki nyuma yangu maaskali wameingia mikwala kibao kuna mshikaji mmoja akataka kukimbia kapigwa kitasa nikasema leo naumbuka ,nikawaambia tuyajenga hakuna mualifu hapa ni utaratibu tu umekiukwa jamaa wakagoma tukatiwa kwenye karandinga aibu kinoma
Nikaawambia chukua ela kadhaa mniachie nikawapa kitambulisho cha kazi wakamind wakasema mfanyakazi mzima unakula gambe time hii.of course nilitoka baada ya muda kidogo ila ile fedheha aikuwa poa nimekula shati suruali na moka napata aibu ile jamani tueshimu mida ya kula maii.
Wazee wa povu ruska
Wanywe katika majumba yao,unajua ni ujinga sana coz kila mtu ana ratiba yake ya kufanya kazi je wanaoingia kazini usiku wanywe saa ngapi....
Hapo sawa lazima uwasubiri wao wakikuona hauna madhara wanchomekea pesa hapo waweza fanya makeke.nimekusoma mkuu debate ilikuwa ndefu sana sema naona walikuwa wanahofia nitawamulika kumbe mimi mwananchi wa kawaida tuu ila hawakupata hata mia
PointlessKimasihara masihara Mara polisi hao tunakuja kufanya upekuzi kimasihara masihara Mara documents Fulani tumezipata kwako kimasihara masihara Mara twende kituoni Mara paap kwenye difenda kimasihara masihara masihara Mara umesomewa hukumu unaenda jela kimasihara masihara unakuja tembelewa jela unaambiwa umepoteza mama na mtoto kimasihara masihara unafika wakati unagundua waliokufanyia yote kimasihara masihara unagundua kifo cha mama na mtoto tumboni ni cha kupangwa kimasihara masihara ukwel unagundulika unaachiwa kimasihara masihara adui zako unawatambua unaamua kuwaacha kimasihara masihara unapotea kusipo julikana kimasihara masihara unaacha kila kitu Mali zako kila kitu unaamua kuwa mtu wa hovyo
Kimasihara masihara unakuta hii ni komenti ya mwisho mwenyewe I'd anaamua kusepa Jami forum mazima
Yaani kimasihara masihara tu ukwel unaweza kuwepo kwenye utani kimasihara masihara unaumia kwa ndani ila unajifanya uko sawa unaandika tu yaani kimasihara masihara
Fr.Kitime a.k.a Ngongoti mtu poa sanaMapolisi wa mwanza ukiwaambia unasoma SAUT wanajua tu hakuna hela.. Na wakikuweka ndani asubuhi tu unatoka enzi za Fr.Kitime ... Kwa hiyo wakikumata wa SAUT unakesha nao asubuhi wanakuacha adhabu kali sana ... Walinikamata tena CAPRICABANA .... Tulizunguka pale mwanza mjini mpaka asubuhi shenzi sana wale ....
Niliwahi wafanyia polisi wa Jiji la Daudi huu mtindo walikomaa wanataka 50k nikawaambia nina 7k kama hawataki wafanye lolote, nilikuwa nimetoka mkoani nina siku 2 tu nikaona hawa tutapotezeana muda hapa nikawaambia mnajua mnanipotezea muda? Jamaa akaniambia tutakusweka ndani..walitaka 50,000 nikawa nawashusha wakakomaa nikasema kama mbwai mbwaii
Karibu. Ukiwepo ulizia kwa Shirima halafu unichecknitakuwa mkazi wa hukoo soon jiranii
Ila kucheza pool table hairuhusiwi. Yaani soda unaweza kunywa kuanzia moja asubuhi mpaka mida ya kazi iishe...
Kwa kifupi ukiwa unakunywa soda unakuwa unachapa kazi kama daktari hospitalini...