Nilivyowekwa kwenye difenda kimasihara

Nilivyowekwa kwenye difenda kimasihara

Kimasihara masihara Mara polisi hao tunakuja kufanya upekuzi kimasihara masihara Mara documents Fulani tumezipata kwako kimasihara masihara Mara twende kituoni Mara paap kwenye difenda kimasihara masihara masihara Mara umesomewa hukumu unaenda jela kimasihara masihara unakuja tembelewa jela unaambiwa umepoteza mama na mtoto kimasihara masihara unafika wakati unagundua waliokufanyia yote kimasihara masihara unagundua kifo cha mama na mtoto tumboni ni cha kupangwa kimasihara masihara ukwel unagundulika unaachiwa kimasihara masihara adui zako unawatambua unaamua kuwaacha kimasihara masihara unapotea kusipo julikana kimasihara masihara unaacha kila kitu Mali zako kila kitu unaamua kuwa mtu wa hovyo

Kimasihara masihara unakuta hii ni komenti ya mwisho mwenyewe I'd anaamua kusepa Jami forum mazima

Yaani kimasihara masihara tu ukwel unaweza kuwepo kwenye utani kimasihara masihara unaumia kwa ndani ila unajifanya uko sawa unaandika tu yaani kimasihara masihara
duu mlevi mmoja aujasomeka hii kweli aikuwa kimasihala mzee baba nimewekwa ndani lisaa
😂😂😂 mida yakazi unakula bata.
kosa la kiufundi kaka sitarudia tena nia ibu sana
 
duu mlevi mmoja aujasomeka hii kweli aikuwa kimasihala mzee baba nimewekwa ndani lisaa

kosa la kiufundi kaka sitarudia tena nia ibu sana
😂😂😂 binadamu tunasahau mzee siku unarudia tena ww.
 
Kuna chimbo moja kuna washkaji wakiingia hapo wanaacha elfu 50 kaunta kabisa jamaa wakizama wanamalizana na mtu wa kaunta hawataki usumbufu kabisa.
hiyo bonge la ubunifu halafu nahisi kaunta alihisi kitawaka maana alituomba hela kabisa baada ya dk kadhaa wazee wametinga nikajifanya nakunywa maji nilikuwa naona wanaongea na mwenye pub lakini awakukubaliana tuliwekwa nae kwenye difenda pamoja na kaunta ilikuwa aibu sana
 
Habali wakuu
Tunakoelekea mwisho wa mwaka ngoja niwape story nyepesi nyepesi kama ukufanya malengo mwaka huu usikate tamaa mwakani unayo nafasi ya kufanya makubwa.

Back to the point wiki iliopita week days kama juma tano nilikuwa nafanya kazi zangu out of office ilivyofika saa sita mchana nikawa nimemaliza niko free tuu nikaingia pub flani mitaa ya mori pale ,nimeagiza gambe mhudumu akasema njoo ujifiche kaunta kwa ndani hii mida ya kazi muda wa kupiga vyombo bado ,ebwana nikazama nikakutana na wala gambe

wengine kaunta pale kama wa nne vyombo vikaendelea baada ya nusu saa naona mtutu wa bunduki nyuma yangu maaskali wameingia mikwala kibao kuna mshikaji mmoja akataka kukimbia kapigwa kitasa nikasema leo naumbuka ,nikawaambia tuyajenga hakuna mualifu hapa ni utaratibu tu umekiukwa jamaa wakagoma tukatiwa kwenye karandinga aibu kinoma

Nikaawambia chukua ela kadhaa mniachie nikawapa kitambulisho cha kazi wakamind wakasema mfanyakazi mzima unakula gambe time hii.of course nilitoka baada ya muda kidogo ila ile fedheha aikuwa poa nimekula shati suruali na moka napata aibu ile jamani tueshimu mida ya kula maii.
Wazee wa povu ruska
Kipindi nipo sauti nakaa malimbe hostel za mkwawa .... Tulienda kula gambe Tema hotel nyegezi kona kwa mbele .... Gambeeeee ile tunatoka tu gari mapongo hii ... Mnaenda wapi nani nyinyi kaa chini mikwara mingiii ... Yaani ile tuaambiwa panda gari walishangaaaa wote haraka sana kwenye difenda .... Wakaanza kucheka ... Mnajua mnapoenda tukawaambia. malimbe ... Wakasema mtaenda asubuhi ..aseeeee tulipiga nao doria mpaka alfajiri ndio wakaturushisha chuoni mamaaaae sitosahau bwax yyote ilikata
 
daa hiyo ilikuwa noma sana ila kwa wale vyombo misala ya kawaida hii kulukiwa
 
Mapolisi wa mwanza ukiwaambia unasoma SAUT wanajua tu hakuna hela.. Na wakikuweka ndani asubuhi tu unatoka enzi za Fr.Kitime ... Kwa hiyo wakikumata wa SAUT unakesha nao asubuhi wanakuacha adhabu kali sana ... Walinikamata tena CAPRICABANA .... Tulizunguka pale mwanza mjini mpaka asubuhi shenzi sana wale ....
 
daaa maisha ya gambe balaa sana
 
kwanini kiongozii ile sio mitaa yangu lazima uwe mdogo
mbona nasikia Makonda alikuja ruhusu baada ya kuona Kodi na Tozo za Jiji zinapungua, au upo Mji gani?
huku kwetu Waswanu Pub jirani na Polisi FFU na Mahakama kuu 24/7 mwaka mzima lager
 
sisi tulikuwa tumekaa kishamba kweli machupa yamejaa kaunta mezani mazafanta ni lazima ubebwe
 
mbona nasikia Makonda alikuja ruhusu baada ya kuona Kodi na Tozo za Jiji zinapungua, au upo Mji gani?
huku kwetu Waswanu Pub jirani na Polisi FFU na Mahakama kuu 24/7 mwaka mzima lager
hii sinza yote mizinguo hakuna kitu kama hicho bado wanakomaa
 
Duh km aliruhusu usafi uwe kila siku na si jumamosi kufunga maduka, na wamachinga freelance angeruhusu na wanywaji kwani wanalipa Kodi kubwa kuliko Makampuni Kili 500/ wao wananununa 1500/
 
Kipindi nipo sauti nakaa malimbe hostel za mkwawa .... Tulienda kula gambe Tema hotel nyegezi kona kwa mbele .... Gambeeeee ile tunatoka tu gari mapongo hii ... Mnaenda wapi nani nyinyi kaa chini mikwara mingiii ... Yaani ile tuaambiwa panda gari walishangaaaa wote haraka sana kwenye difenda .... Wakaanza kucheka ... Mnajua mnapoenda tukawaambia. malimbe ... Wakasema mtaenda asubuhi ..aseeeee tulipiga nao doria mpaka alfajiri ndio wakaturushisha chuoni mamaaaae sitosahau bwax yyote ilikata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jaman
 
Duh km aliruhusu usafi uwe kila siku na si jumamosi kufunga maduka, na wamachinga freelance angeruhusu na wanywaji kwani wanalipa Kodi kubwa kuliko Makampuni Kili 500/ wao wananununa 1500/
unajua ni ujinga sana coz kila mtu ana ratiba yake ya kufanya kazi je wanaoingia kazini usiku wanywe saa ngapi....
 
Kipindi nipo sauti nakaa malimbe hostel za mkwawa .... Tulienda kula gambe Tema hotel nyegezi kona kwa mbele .... Gambeeeee ile tunatoka tu gari mapongo hii ... Mnaenda wapi nani nyinyi kaa chini mikwara mingiii ... Yaani ile tuaambiwa panda gari walishangaaaa wote haraka sana kwenye difenda .... Wakaanza kucheka ... Mnajua mnapoenda tukawaambia. malimbe ... Wakasema mtaenda asubuhi ..aseeeee tulipiga nao doria mpaka alfajiri ndio wakaturushisha chuoni mamaaaae sitosahau bwax yyote ilikata
nilikuwa nakula ngumu ***** tungi ilikata yote walinitoa kwenye mood sana that day
 
Uwe unaenda bar walizokata kibali cha kuuza bia masaa 24 huku kimara tunajiachiaa tuu hapa
 
Back
Top Bottom