Tena sijaona mkuuHujaona notification ๐??? ๐ ๐ ๐ ๐
Aiseee, ๐ข๐ข๐ข๐๐๐๐
Tabu za dunia Dada yangu, kawaida tu changamoto maana ndio kukomaa kwenyewe huko
Ww ni muongo sana, soma kwa makini ulichopost utaelewaCountrywide uongo wangu uko wapi Mzee mwenzangu? Halafu Mimi uongo sipendi kabisa na mambo yangu yote yapo recorded kabisa
Lamomy hebu nisaidie Kumuuliza huyo Gucci /Versace wako.
Nidanganye ili iwaje? ๐ ๐ ๐
Hivi ile issue mmeelewana au kakuzingua?I can't wait kukuona ukiwa CEO,ila ongea taratibu Lamomy asisikie atakuroga๐
Manyaza huwa ni dhaifu sana๐๐๐๐๐ Kwanza ulisema humuogopi boya tyuu.!! Umesahau manyanza??
Haya leo huyo pambana naye, mi refa hapa.
Ngoja nikuitie mmalizane ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
My baeibeyyyy My Sweet My Albert Tomber
Huyo muongo muongo sana alafu anatongoza kila ke humu na wanamuangusha๐Mwamba wa kaskazini anakuzoom unataka kujichomeka kwenye usingizi wake ohhh.!! ๐๐๐๐