Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 12,209
- 33,758
Hapa ndipo mnaponiachaga na maswali. Hivi wanaume wa jf wote hakuna anaepiga pisi mbovu?Aisee ilikuwa ni pisi ya maana tena kiwango cha SGR ya 🇨🇳 sio ya 🇹🇿.
Hapa ndipo mnaponiachaga na maswali. Hivi wanaume wa jf wote hakuna anaepiga pisi mbovu?Aisee ilikuwa ni pisi ya maana tena kiwango cha SGR ya 🇨🇳 sio ya 🇹🇿.
😂😂😂 sa uongo wake nini??We jamaa ni muongo kinoma
Umeshutukia mchezo niniSaa 5 asubuhi taa imezimwa chumba kikawa giza, aah hii chai sio poa mzee
Tumegoma tuletee maandazi ya iriki 😃Unanisagia Kunguni na Wewe? 😂 😂 😂 😂
Mapema sanaUmeshutukia mchezo nini
Atakuogopa ujue mpaka achungulie hauko online ndiyo atupieMapema sana
Ye aweke tu, mradi asizidishe sana tangawizi tusije kupaliwaAtakuogopa ujue mpaka achungulie hauko online ndiyo atupie