Nilivyotishwa na mtu kisa nimefowadi habari ya waraka wa TEC kuhusu Corona

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Kuna watu wana matatizo nadhani ya akili

Baada ya hii barua ya tec kuhusu korona kutoka nikaipost kwa group langu

Ghafla anakuja mtu inbox ananitisha kwamba ananiripoti TCRA kwamba eti nasambaza uongo na uchochezi na kwamba eti nitaeleza vizuri nyuma ya nondo.

There are some people sijui wanajikuta kama kina nani?Hawajui tofauti ya fake news, na habari za uchochezi.

Na mimi nimemwambia akaniripoti vizuri maana hiyo barua ya TEC ni ya kweli wala sio fake news.

Raha sana kuzijua haki zako!
 
Mkubwa kwa nini hujasubiri kwanza kesho mzee baba aujibu huo waraka kwenye uzinduzi wa shamba la miti kuke Butengo
 
Bila shaka hao Maaskofu wa TEC watakuwa wameanza kutumiwa na Mabeberu kuihujumu Nchi yetu ya Uchumi wa Kati!!

Sisi ni Taifa pekee duniani tuliofanikiwa kuitokomeza Corona kupitia tu maombi ya siku 3!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ni Masikitiko makubwa pale TCRA wanapokuwa wanaogopwa kuliko hata gonjwa..., kweli we live in very sad times (chombo kama hiki kingekuwa kinatumika kama chachu ya habari na maendeleo) na sio kutumiwa na watu kama kitisho cha kupelekwa nyumba ya nondo

Sad Indeed...
 
Kuna watu wana matatizo nadhani ya akili

Baada ya hii barua ya tec kuhusu korona kutoka nikaipost kwa group langu...
Tz tunatia aibu leo nimeenda hospital kumpeleka mke wangu nikakuta na jamaa yangu DOCTOR ananiambia oya humu hospital tuna wagonjwa 6 wa COVID 19 ila usitangaze maana ukidakwa nitakukana nikajiuliza mbona TZ imekua li nchi la KUMUOGOPA MTU MMOJA yaani imefika point taaluma za watu zinaingiliwa kwa kumuogopa MUONGO mmoja.

Eti mtu anakufa wanaandika kafa kwa PNEUMONIA huku tusiojua mambo ya kitabibu tunajua huu ugonjwa mara nyingi huwasumbu watoto wadogo.
 
Mbona huo waraka hauna Shida. Ni taadhari kama tahadhari nyingine. Hawajasema Tanzania IPO, japo ipo
 
Ingekuwa mimi tusi ambalo ningempa angeenda kutafuta kamba ajitundike.
 
Aisee juzi nimepoteza rafiki yangu wa karibu ghafra tu jamaa kavuta adi sasa haijafahamika ni nini tatizo...
 
Kuna watu wana matatizo nadhani ya akili

Baada ya hii barua ya tec kuhusu korona kutoka nikaipost kwa group langu

Ghafla anakuja mtu inbox ananitisha kwamba ananiripoti TCRA kwamba eti nasambaza uongo na uchochezi na kwamba eti nitaeleza vizuri nyuma ya nondo.

There are some people sijui wanajikuta kama kina nani?Hawajui tofauti ya fake news, na habari za uchochezi.

Na mimi nimemwambia akaniripoti vizuri maana hiyo barua ya TEC ni ya kweli wala sio fake news.

Raha sana kuzijua haki zako!
Huyo mtu nafahamu maana ya social group kweli?
 
Back
Top Bottom