Nilivyotafakari Leo

Kirchhoff

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,618
8,286
Nimekaa hapa natafakari sehemu na viungo vya binadamu vinavoishia na herufi 'O' katika lugha adhimu ya kiswahili;

Mkono
Mdomo
Sikio
Kalio,
Kojoleo,
Jicho,
Kiwiko,
Ugoko,
Unyayo,
Kisigino,
Shingo,
Tumbo,
Jino,
Moyo,
Koromeo,
Utumbo,
Figo,
Kisogo,
Kongosho,
Kiuno

Hembu jazilizia.
Kirchhoff
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom