Sala maalumu ya kuwaombea wapiga Punyeto waache

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Sala hii haifungamani na Imani ya upande wowote. Sala hii ni maalumu kwa wale wanaopiga Punyeto na wale walio athiriwa na kitendo kibaya cha kupiga Punyeto

Ee Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema na huruma tele, tunajua unachukia maovu pamoja na watenda mabaya, unachukia pia wapiga punyeto na haupendezwi nao kamwe .

Ee Mwenye Mungu , Tunaomba utusamehe na kuturehemu sisi tuliopiga punyeto na wanaopiga punyeto wakubwa kwa wadogo, vijana na mabinti na hata walio oa na walio olewa, huku adui muovu shetani akiwadanganya kwamba Punyeto haina madhara, ila ukweli Mwenyezi Mungu unafahamu ina madhara na inadhalilisha sana mbele ya Mwanamke /wanawake uliotuumbia wawe wasaidizi wetu.

Ee Mwenyezi Mungu tunaomba sana utusamehe wasamehe na wale wanao hamasisha Punyeto na kuunga mkono kikundi cha CHAPUTA na KUNDI LA KUKATAA NDOA kwa maslai yao binafsi ya kuharibu mfumo wa maisha ya heri uliyo uumba baina ya mwanamume na mwanamke tokea awali.

Ee Mungu tunakuomba utusamhe/ uwasamehe na tunaomba uturejeshee/ uwarejeshe Urijali wetu/ wao upya kama ilivyo kuwa awali , tunaomba uturehemu na utufanye tusidhalilike tena mbele ya wanawake /wake zetu, pia tunaomba utupe hamu ya kuoa maana ndiyo mpango mzuri wa kimaisha na niwabaraka uliouunda tokea enzi na enzi.

Ee Mungu tuepushe na mabaya ya shetani na jehanamu ya moto ,tuepushe mbali na madhara ya punyeto na tunaomba utuponye na utuondolee madhara yaliyotukuta kutokana na punyeto..

Turehemu Ee Mungu mwingi wa rehema na Huruma tuokoe sisi kizazi kilicho athiriwa /kuathirika na punyeto, tupe kuwa na kiu ya kuoa na tuwe na hisia na wake zetu na siyo kujichukulia sheria mkononi na kumwaga mbegu zetu chini

Ee Mungu kweli tumefanya machukizo mbele zako tunaomba utusamehe na utuponye na kuponya kizazi hiki kilicho athiriwa na Punyeto na Kukataa ndoa.

Asante kwa kutusikia Ee Mwenyezi Mungu uliyeziumba mbingu na nchi na kutuumba sisi wanadamu kwa sura na mfano wako ukatuumba mwanamume na mwanamke na ukawabari na kuwaambie zaeni mkaijaze dunia.

Turehemu Ee Mungu:

na watu wote tuseme Amina

Nb: Ni Kweli Punyeto inamadhara makubwa sana, sasa huta yaona ila ipo siku utayaona tuu na madhara yake utayaona na shetani atakudhalilisha mbele ya mwanamke / mke wako .

Acheni punyeto na Mungu atusaidie kuacha, pia tupende kuoa kwa wale tuliofikia umri wa kuoa. Pia tuwaelimishe wadogo zetu punyeto ni mbaya sana
 
Kitendo cha kuamini Mungu yupo tu na haujawahi kumwona ni sawa tu na wapiga nyeto kuamini picha na video then wanajimaliza wenyewe.
 
Ipo siku watajutia sana, tena wakati anajuta anakuta mwanamke wake yupo pembeni na jamaa kagoma kusimama , ila akili yote inakua kweye nyeto ila siyo kwa mwanamke.

Hapo ukikutana na mwanake ambaye hana busara wala muelewe akusaidie uanze kupona kifikra na baadaye uje ukae sawa asee. Unaweza ukata uume na kuambia.
 
Back
Top Bottom