mkunga wa jadi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2025
- 208
- 431
Mkuu dont generalise kanda ya ziwa ni kubwa na inanakabila zaidi ya 50, na kila kabila na tabia zao kwa mfano mke mkuria sio sawa kitabia na Musukuma au mnyamwezi, Mhaya ana tabia zake na Mjita wana tabia zao kwahiyo kama wewe ulioa Mnyamwezi usifikiri wote wako hivo.Hawa watu kutoka kanda ya ziwa ni wakatili sana hasa hasa wanawake yaani ukitaka kuona dunia chungu au ndoa ni chungu oa mwanamke kutokea kanda ya ziwa aisee mimi niliona cha mtema kuni nusura aniue kisa mali tu ambazo yeye amenikutana nazo aisee kwanza hawa wanawake toka kanda ya ziwa anawqsikiliza kaka zao kuliko waume zao ukitaka kujikosa oa wanawake kutoka kanda ziwa yaani ilikuwa kidogo mwanamke anichome kisa kisa mali tu yaani daa watu wa shinyanga, Geita Mwanza na Simiyu hawa wanawake ni katili sana aisee
bora ulitaje kabila hilo kuliko kujumuisha makabila yote ya kanda ya ziwa..Ngoja wajuzi waje.Hawa watu kutoka kanda ya ziwa ni wakatili sana hasa hasa wanawake yaani ukitaka kuona dunia chungu au ndoa ni chungu oa mwanamke kutokea kanda ya ziwa aisee mimi niliona cha mtema kuni nusura aniue kisa mali tu ambazo yeye amenikutana nazo aisee kwanza hawa wanawake toka kanda ya ziwa anawqsikiliza kaka zao kuliko waume zao ukitaka kujikosa oa wanawake kutoka kanda ziwa yaani ilikuwa kidogo mwanamke anichome kisa kisa mali tu yaani daa watu wa shinyanga, Geita Mwanza na Simiyu hawa wanawake ni katili sana aisee
Jamaa jinga sana hili lililoleta uzi, sijui lilisomea shule gani likaambiwa kanda ya ziwa ni Shinyanga, Geita, Mwanza na Simiyu. Haya majitu ndio yanayofanya nchi inakua na population kubwa kumbe majinga ni mengi pia .bora ulitaje kabila hilo kuliko kujumuisha makabila yote ya kanda ya ziwa..Ngoja wajuzi waje.
We una akili mpuuzi wewe toka hapa kwenye nyuzi za wanaume shoga weweJamaa jinga sana hili lililoleta uzi, sijui lilisomea shule gani likaambiwa kanda ya ziwa ni Shinyanga, Geita, Mwanza na Simiyu. Haya majitu ndio yanayofanya nchi inakua na population kubwa kumbe majinga ni mengi pia .
Mpaka nimewahi kumla dada yako hapo kwenye machimbo kakola mbwa wewePimbi wee nenda kaoe kanda yenu huko usitafute kiki za kishamba
Si ajabu hata kanda ya ziwa hujawahi fika au kuishi pimbi wee kiazi kitamu!
Mna nini cha ziada mpuuzi weweWatu wanaitumia Kanda ya ziwa kama nyenzo ya ku trend mtandaoni.
We una akili mpuuzi wewe toka hapa kwenye nyuzi za wanaume shoga wewe
Wairaq, wachaga, wanyakyusa.Hawa watu kutoka kanda ya ziwa ni wakatili sana hasa hasa wanawake yaani ukitaka kuona dunia chungu au ndoa ni chungu oa mwanamke kutokea kanda ya ziwa aisee mimi niliona cha mtema kuni nusura aniue kisa mali tu ambazo yeye amenikutana nazo aisee kwanza hawa wanawake toka kanda ya ziwa anawqsikiliza kaka zao kuliko waume zao ukitaka kujikosa oa wanawake kutoka kanda ziwa yaani ilikuwa kidogo mwanamke anichome kisa kisa mali tu yaani daa watu wa shinyanga, Geita Mwanza na Simiyu hawa wanawake ni katili sana aisee