Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,974
Dogo... huyu Manfogo atakuingiza cha kike. Shauri zako.Baby mimi na wewe tu.
Ila nasikia kuna kibabu humu kinakuzengea...ole wako
Dogo... huyu Manfogo atakuingiza cha kike. Shauri zako.Baby mimi na wewe tu.
Ila nasikia kuna kibabu humu kinakuzengea...ole wako
Ukimwi wanaume ndio tunaoupeleka nyumbani.
[emoji2] [emoji2] umeona eehh!unatafuta uzoefuNg'ombe hazeeki maini babe ake...
Sio pazuri. Anyway pana sura mbaya lakini penye utamu mzuri...[emoji12]Aisee hako kaugonjwa kamekalia pabaya.
Nilionao mpk sasa... ni kilele kipi ntashindwa kukufikisha?[emoji2] [emoji2] umeona eehh!unatafuta uzoefu
Nilimlipia mahari na harusi juu. Nafikiri unataka busha la KilwaDogo... huyu Manfogo atakuingiza cha kike. Shauri zako.
usimfanyie hvyoo!!msamehe bureeNilimlipia mahari na harusi juu. Nafikiri unataka busha la Kilwa
hakunaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nilionao mpk sasa... ni kilele kipi ntashindwa kukufikisha?
Nashangaa watu wako serious wakimuasa mtu aliyetunga hadithi... Jiulize usiku kucha mkewe atakuwa hakula maana jamaa limelala na chipsi gesti.Majina uliyotumia kwenye kuandaa hili andiko yaani wote mnaanza na J (JAMES, JOYCE, JOHN), hongera kwa kutunga hadithi nzuri. Imeisha au bado sehemu ya pili?
hahahahahahahahahahahahah: mtori ni uji wa ndiziNashangaa watu wako serious wakimuasa mtu aliyetunga hadithi... Jiulize usiku kucha mkewe atakuwa hakula maana jamaa limelala na chipsi gesti.
Ila nimependa zaidi anavokunywa mtori na kutafunia na ndizi... ndizi laini kwa ndizi ngumu
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji8] [emoji8] [emoji8] too[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Well said yani tumo mulemulewe hii pole haikuhusu, yawezekana ni mumeo???? kama uneolewa hii pole yko inakuhusu asilimia mia, hata kama hujaolewa still itakuhusu asilimia mia, kama una mpenzi still itakuhusu asilimia mia... kama huna na huna mpngo ndo haitakuhusu, na kma unafanya biashara ytu ile.. ndo haitakuhusuuuuu...