Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,392
- 96,718
Ndio maana nakupenda na sitokuacha.Hauwezi nakuaminini sana!
Ndio maana nakupenda na sitokuacha.Hauwezi nakuaminini sana!
Salama mpendwa.. angalia humu kuna juice za ubuyu tu usije pata vidonda vya tumbo buuuureSiku hizi nakunywa juisi au maji tu, chai hapana. Za kwako lakini Mpendwa?
Mi too!hny....Ndio maana nakupenda na sitokuacha.
Tuishie hapa mahasidi wasije wakatuwekea fitna [emoji8]Mi too!hny....
Umeona eehh!!Ila hasidi hana nafasiTuishie hapa mahasidi wasije wakatuwekea fitna [emoji8]
Ngoja niwaombee baioloji zao zibadili jinsia afu zihamishiwe usoni. Ndo wakome kuingilia muungano wetu wa kijamii na kujamiianaUmeona eehh!!Ila hasidi hana nafasi
Nashukuru umenisaidiaMuda unatoka Guest na muda wa jamaa kufika pale guest tena akiwa na mkeo naona hesabu zinagoma kukaa vizuri. Kwasababu na imagine ulikua unatoka guest, jamaa alipothibitisha kuwa ni Wewe na Joyce akampigia mshkaji owner, owner akaenda kwa mkeo akamweleza, yeye akatangulia kwa boda kafika pale Mmmghh. Ulivyotoka Guest mlisimama nje?
Huoni hata majina yote ya wahusika yanaanzia na herufi J?? Ni concidence??Nashukuru umenisaidia
Maana picha ilikua inagoma kabisa..
Hili nalo la msingi halafu hajasema chips ziliishia wapii?!!!Huoni hata majina yote ya wahusika yanaanzia na herufi J?? Ni concidence??
Usinambie ulishaingia cha kiume? Hii ni hadithi tena iliyotungwa na mtu asiye na kipaji cha utunzi... hamna hata nusu chembe ya uhalisia.Hili nalo la msingi halafu hajasema chips ziliishia wapii?!!!
Mi niliamini mazima...Usinambie ulishaingia cha kiume? Hii ni hadithi tena iliyotungwa na mtu asiye na kipaji cha utunzi... hamna hata nusu chembe ya uhalisia.
Mungu anamuona
Kwa kweli. Maana watu wametoa mapovu kwa hadithi ya kufikirika.Mi niliamini mazima...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Mungu anamuona na atamhukumu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi niliingia chaka bovu daah!Kwa kweli. Maana watu wametoa mapovu kwa hadithi ya kufikirika.
Tumwachie Mungu tu. Yeye ndo atamwona
Siku nyingine ukiingia choo cha kiume... usijisahau ukachuchumaa kama unajojoa. Watakustukia.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi niliingia chaka bovu daah!
Nitakua makini dear wangu!Siku nyingine ukiingia choo cha kiume... usijisahau ukachuchumaa kama unajojoa. Watakustukia.
Sawa my love?
Thats my girl!Nitakua makini dear wangu!
jazilia mwenyewe alilala njaa na ugomvi juuKwaiyo mkuu siku iyo mke wako alilala njaa? Kuna script inamiss kwenye hii movie