David Goliath
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 949
- 1,894
Hakuna binadamu asiyependa pesa ukitaka kumteka binadamu tanguliza pesa, asingeweza kukataa pesaHuyo mkeo bado atatapeliwa tu, anaonekana ana tamaa Sana na ana elements za umalaya

Kumbuka kilichomjengea uaminifu alimshirikisha mpaka mkewe kwenye kutoa hela ya sodaPamoja na kutapeliwa vilevile huna Mke,una chagudoa a.k.a malaya.
Mwanamke anaye accept offer tena zaidi ya mara moja kutoka kwa Mwanaume mwingine unasemaje ni Mke kama sio changudua.
Jamaa angekuwa ndio mteja halisi angeendelea kumpa hela mpaka kuna siku angemla kiulaini.
Wenye kazi zao hao[emoji23][emoji23][emoji23]Izo laki 3 za kujilipa na kunywa wine ni za wapi ?, akati izo laki 3 nazo bado ni pesa feki kawawekea. Nanyi kumbe bado mngetapeliwa tu.
Nakuelewa tapeliLazima ziwe ni pesa feki tuu nauhakika. Maana huyo tapeli pia anajua kuna uwezekano wa utapeli kugonga mwamba kama ivyo so, hawezi kuweka pesa halali.
Hongera Kwa kutambua kabla ya kutapeliwa. Nimejifunza na Mimi hapaKwanza nikiri kwamba Mungu Yuko pamoja na Mimi kwa kuniuepusha na majanga haya Kwa mara ya pili kwa mwaka huu
Mkoa wa Tanga ni miongoni mwa mikoa ambayo matapeli wa mitandaoni wanakuja kwa kasi kwani jeshi la polisi mkoa wa Tanga lilikamata vijana zaidi ya sita wanaishi kwenye nyumba na kodi wanalipa Tsh 800000 kwa mwezi kazi yao kubwa ni utapeli wa mitandaoni
Stori inaanza kama ifuatavyo
Ofisini huwa anakaa wife kutokana na Ratiba zangu za kilimo kuwa ngumu
Sasa siku moja alikuja mteja wa kiume na kujitambulisha kwa majina na kusema wao wamehamia mkoa wa Tanga kikazi
Alitoa hela kama kawaida na kumuachia wife hela ya soda TSH 10000 na kuondoka
Siku nyingine akaja na mtoto akatoa hela tena na kama kawaida akamuachia wife hela ya soda na kumtambulisha kwamba yule ni mtoto wake siku akiwa mbali atamtumia pesa na kumtuma huyo mtoto aje achukue na kweli alifanya hivyo kama mara mbili na kama kawaida alikua anamuagizia huyo mtoto aache hela ya soda
Siku nyingine akaja na mwanamke na kujitambulisha ni mke wake alitoa hela kama kawaida akamuachia wife hela ya soda na akaacha maagizo kwamba siku akiwa mbali atatuma hela na atakuja kuchukua huyo mwanamke na kweli alifanya hivyo mara mbili na alikua anamuagizia huyo mwanamke amuachie wife hela ya soda hapo uaminifu kwa wife ukazidi maana alijua kwamba kumbe mpaka mke wake anaridhia kutoa hela ya soda basi hakuna tatizo usalama upo
SIKU YA TUKIO
Nikiri kwamba huwa nampa wife kila mbinu ya utapeli ninayoijua lakini hii nilikua siijui na sija muelekeza
Siku moja alikuja yule mteja na ki begi chenye fedha na kumwambia wife kwamba amuhifadhie Kuna sehemu anaenda ila hakuamini sana hivyo jioni atakuja kuzichukua
Zile pesa kwa uzoefu wa wife alisema ukiziangalia Kwa haraka haraka ni kama million Tano ,wife akazichukua zile pesa na kuzihifadhi pembeni
Baada ya muda yule jamaa alipiga simu kwa wife na kumwambia huko aliko amepata changamoto amtumie million Tatu pesa si anazo akirudi atakata hela yake na kumkabidhi iliyobaki
Kweli wife alikua ana upungufu wa flot akaomba kwa wakala mwenzake na kupewa ila kabla hajatuma machale yakamcheza akakumbuka kwamba wakala unatakiwa kuhakiki pesa kabla ya kutuma
Aisee wale wate ni mafundi chief Godlove anasingiziwa yaani vipande vya boksi vimepangwa kwa ustadi mkubwa na kuwekewa kiasi cha pesa kidogo juu ambazo baada ya kuzihesabu ni kama laki tatu
Aisee Mawakala usije ukamuamini mtu yoyote kila mteja muone kama tapeli
Looh unamuita mkeo pipakama pipa langu kwakweli hapo lingetuma tu bila kufikiri chochote
Una tetea but kwa mtiririko wa story tambua tu unaishi na kahabaKumbuka kilichomjengea uaminifu alimshirikisha mpaka mkewe kwenye kutoa hela ya soda
HahahahaNakuelewa tapeli
Ikawaje mkuuKwanza nikiri kwamba Mungu Yuko pamoja na Mimi kwa kuniuepusha na majanga haya Kwa mara ya pili kwa mwaka huu
Mkoa wa Tanga ni miongoni mwa mikoa ambayo matapeli wa mitandaoni wanakuja kwa kasi kwani jeshi la polisi mkoa wa Tanga lilikamata vijana zaidi ya sita wanaishi kwenye nyumba na kodi wanalipa Tsh 800000 kwa mwezi kazi yao kubwa ni utapeli wa mitandaoni
Stori inaanza kama ifuatavyo
Ofisini huwa anakaa wife kutokana na Ratiba zangu za kilimo kuwa ngumu
Sasa siku moja alikuja mteja wa kiume na kujitambulisha kwa majina na kusema wao wamehamia mkoa wa Tanga kikazi
Alitoa hela kama kawaida na kumuachia wife hela ya soda TSH 10000 na kuondoka
Siku nyingine akaja na mtoto akatoa hela tena na kama kawaida akamuachia wife hela ya soda na kumtambulisha kwamba yule ni mtoto wake siku akiwa mbali atamtumia pesa na kumtuma huyo mtoto aje achukue na kweli alifanya hivyo kama mara mbili na kama kawaida alikua anamuagizia huyo mtoto aache hela ya soda
Siku nyingine akaja na mwanamke na kujitambulisha ni mke wake alitoa hela kama kawaida akamuachia wife hela ya soda na akaacha maagizo kwamba siku akiwa mbali atatuma hela na atakuja kuchukua huyo mwanamke na kweli alifanya hivyo mara mbili na alikua anamuagizia huyo mwanamke amuachie wife hela ya soda hapo uaminifu kwa wife ukazidi maana alijua kwamba kumbe mpaka mke wake anaridhia kutoa hela ya soda basi hakuna tatizo usalama upo
SIKU YA TUKIO
Nikiri kwamba huwa nampa wife kila mbinu ya utapeli ninayoijua lakini hii nilikua siijui na sija muelekeza
Siku moja alikuja yule mteja na ki begi chenye fedha na kumwambia wife kwamba amuhifadhie Kuna sehemu anaenda ila hakuamini sana hivyo jioni atakuja kuzichukua
Zile pesa kwa uzoefu wa wife alisema ukiziangalia Kwa haraka haraka ni kama million Tano ,wife akazichukua zile pesa na kuzihifadhi pembeni
Baada ya muda yule jamaa alipiga simu kwa wife na kumwambia huko aliko amepata changamoto amtumie million Tatu pesa si anazo akirudi atakata hela yake na kumkabidhi iliyobaki
Kweli wife alikua ana upungufu wa flot akaomba kwa wakala mwenzake na kupewa ila kabla hajatuma machale yakamcheza akakumbuka kwamba wakala unatakiwa kuhakiki pesa kabla ya kutuma
Aisee wale wate ni mafundi chief Godlove anasingiziwa yaani vipande vya boksi vimepangwa kwa ustadi mkubwa na kuwekewa kiasi cha pesa kidogo juu ambazo baada ya kuzihesabu ni kama laki tatu
Aisee Mawakala usije ukamuamini mtu yoyote kila mteja muone kama tapeli
Umeona mbali sana. Anyway NAKAZIA [emoji419][emoji375]Pamoja na kutapeliwa vilevile huna Mke,una chagudoa a.k.a malaya.
Mwanamke anaye accept offer tena zaidi ya mara moja kutoka kwa Mwanaume mwingine unasemaje ni Mke kama sio changudua.
Jamaa angekuwa ndio mteja halisi angeendelea kumpa hela mpaka kuna siku angemla kiulaini.
Ofa za ten-ten umeziona lakini!!Mbona kama story haijaisha
Hebu endelea Kuna kitu najifunza hapa
Hizo kawaida tu mbona...bahili ndyo anazishangaa ila kawaida sana tuOfa za ten-ten umeziona lakini!!
Muone...Hizo kawaida tu mbona...bahili ndyo anazishangaa ila kawaida sana tu
Ss elfu kumi ni kitu cha kumnyima mtu jamaniMuone...