Lazima ziwe ni pesa feki tuu nauhakika. Maana huyo tapeli pia anajua kuna uwezekano wa utapeli kugonga mwamba kama ivyo so, hawezi kuweka pesa halali.Yamkini maana tapeli ni tapeli tu.ila zingekua nazo ni feki mleta mada si angesema?
Lazima ziwe ni pesa feki tuu nauhakika. Maana huyo tapeli pia anajua kuna uwezekano wa utapeli kugonga mwamba kama ivyo so, hawezi kuweka pesa halali.Yamkini maana tapeli ni tapeli tu.ila zingekua nazo ni feki mleta mada si angesema?
Hela halali wanaweka vizuri tu, ndo risk za kazi hizo! Sema hapo ni mkeka tu umechanika!Lazima ziwe ni pesa feki tuu nauhakika. Maana huyo tapeli pia anajua kuna uwezekano wa utapeli kugonga mwamba kama ivyo so, hawezi kuweka pesa halali.
Hapana kuna muda pia tapeli anawekeza pesa halali kabisa,kwa mfano wife wa mleta mada kavuta sana ten ten za tapeli.Lazima ziwe ni pesa feki tuu nauhakika. Maana huyo tapeli pia anajua kuna uwezekano wa utapeli kugonga mwamba kama ivyo so, hawezi kuweka pesa halali.
Mzee wa kuoa la saba B ili asitongozwe hapo angekuwa your wife ungehesabu maumivu.Hongera sana mkuu mmepata laki tatu ya wine
Au ww ndio ulitaka kufanya utapeli..? Maana unajua mpaka kuwa ni feki hzo laki tatu..?Izo laki 3 za kujilipa na kunywa wine ni za wapi ?, akati izo laki 3 nazo bado ni pesa feki kawawekea. Nanyi kumbe bado mngetapeliwa tu.
kama pipa langu kwakweli hapo lingetuma tu bila kufikiri chochoteMzee wa kuoa la saba B ili asitongozwe hapo angekuwa your wife ungehesabu maumivu.
Mleta mada una mke msikivu na mwerevu
HahahhaahahhahaAu ww ndio ulitaka kufanya utapeli..? Maana unajua mpaka kuwa ni feki hzo laki tatu..?
Mpende hivyo mkuu kila binadamu ana mapungufu yake. Muhimu msisitize kuhoji kila hatua anayotaka kuchukua na akushirikishe vitu vinavyoonekana kuleta changamoto.kama pipa langu kwakweli hapo lingetuma tu bila kufikiri chochote
Yule jamaa hakupatikana tena na nilichogundua zile laini za simu zinakuaga hazisomi majina yao na wanazitumia kwa kazi maalum ikiisha wanazitupa na wanatafuta nyingine ile laki tatu nilimwambia wife akajipoze tu atafute kitu cha kumbukumbu,kaenda kutafuta Infinix safi ta kumbukumbuIlikuaje baada ya hapo? Malizia story Hadi mwisho
Ilikua wapige million TatuBora alistuka aisee..., million5 nyingi sana jamani
Hapo safi kabisa huko alipo anaugulia maumivu taratibuYule jamaa hakupatikana tena na nilichogundua zile laini za simu zinakuaga hazisomi majina yao na wanazitumia kwa kazi maalum ikiisha wanazitupa na wanatafuta nyingine ile laki tatu nilimwambia wife akajipoze tu atafute kitu cha kumbukumbu,kaenda kutafuta Infinix safi ta kumbukumbu
Hiyo ni mbinu zao za kutapeli na hakuna mwanamke anaeweza kukwepa mtego huuHapo kwenye Hela ya soda Kila akifanya mwamala hapo sijui!