wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,968
- 3,676
Swali nje ya mada,
Hivi ni kwanini humu JF watu husema ''Nilitoka Mkoa X'' hua kuna shida gani kuutaja mkoa husika?
Wanaogopa kusema Njombe
Swali nje ya mada,
Hivi ni kwanini humu JF watu husema ''Nilitoka Mkoa X'' hua kuna shida gani kuutaja mkoa husika?
Paka shumeRoho ya Paka í ½í¸í ½í¸
Wanyakyusa wasumbufu sana aiseeBoni mwaitegeí ¾í´£í ¾í´£í ¾í´£
Dogo rudi Facebook humu sio saizi yako.
Mateke, buti, kutukanwa matusi ya nguoni ndo ishakua sifa sasa.Kwa nini mnapigwa pigwa makofi? Majeshi ya mbele kuna hili la kula makofi na mabuti.