dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,844
- 61,874
SURE, KAMA SIYO KUPIMA YAWEZEKANA NINGESHAKUFA KWA MAGONJWA YA MOYO NA KUPOTEA KABISAHofu huua zaidi ya ukimwi wenyewe, hofu uliyokuwa nayo ndiyo ilipelekea kuanza kupata homa na zisingekuacha mpk umauti. Kupima muhimu
Asante sana ila ukinihukumu hainisaidii kitu. na wewe siyo Munguumalaya umalaya umalaya tamaa ,tamaa, tamaa
hukuridhika na alichokua nacho mpenzio bado ukagawa uchi kwa waziri kwa tamaa ya fedha
safi sana
Pole na hongera.
Huu ugonjwa ni mbaya sana sana nilikuwa nashinda nasoma madhara yake onlineMany times , mtu anayetumia ARV kwa usahihi level ya viral road ni undetectable na ni very unlikely kumwambukiza mwingine . tatizo kubwa lipo kwa mtu mwenye virusi , hayuko kwenye dozi na anafanya ngono bila condom huyu lazima aue wengi
Lol. People are not serious, nani alikwambia me natoa elimu juu ya unyanyapaaji?Hiyo ajira uliipataje kama.hauna taaluma juu ya unyanyapaa? Kwan hao wenye Ukimwi sio watu and how safe ar you na huyo ulienae kwa sasa au utakaekuwa nae
He deserve, hata ungekuwa wewe ungemvulia tu.Duh, mzee alikukula kiulaini sana
hahahahahSi ungetumia tu id yako tukajua dada gani hapa jf ana ukimwi ili tusikufate pm
Okey sio mbaya tumia tu dawa usiache dada yangu
Pole kwa gojwa la UKIMWI...
Nakupongeza kwa kufanya maamuzi ya kutulia na Mungu akusaidie sana ktk kusimamia maamuzi yako.SURE, KAMA SIYO KUPIMA YAWEZEKANA NINGESHAKUFA KWA MAGONJWA YA MOYO NA KUPOTEA KABISA
BORA MIMI NILIYEPIMA KULIKO WEWE, HUNA UHAKIKA NA AFYA YAKOSi ungetumia tu id yako tukajua dada gani hapa jf ana ukimwi ili tusikufate pm
Okey sio mbaya tumia tu dawa usiache dada yangu
Pole kwa gojwa la UKIMWI...
Asante sana Ndugu, hii isue imenikomaza sana kiakili yani kwa sasa hivi nimekuwa mwanamke, naamini mungu atanisaidia pia maana najifunza kwake na huko mbeleni atanivusha kwa hayo makubwa zaidi ya hiliNakupongeza kwa kufanya maamuzi ya kutulia na Mungu akusaidie sana ktk kusimamia maamuzi yako.
Lakini pia muombe Mungu akupe moyo wa ujasiri maana ktk dunia hii yako matatizo mengine au changamoto ambazo ni ngumu, nzito na zinazoumiza may be hata zaidi ya HIV, si maombia yangu itokee kwako lkn vipi in future utakapokuwa na familia inayokutegemea halafu ukakutana na changamoto hizo, Will you give up just like that?
But all in all hongera sana kwa kuamua kubadilika.
Huna lolote wewe, umalaya tuu unakusumbua, kwahyo akija mwingne tena mwenye mapesa unatanua mapajaHe deserve, hata ungekuwa wewe ungemvulia tu.
Achana na hawa watu, wakiamua wanakumaliza kabisaMadereva wana siri nzito halafu waheshimiwa wanajifanya hawamuoni yule dereva wa kule mara
Sijasema about money maana hata mimi nimezaliwa katika familia ya waziri, sikuwahi kuijua shida ni kitu gani ila kilichonisumbua ni ujana ( Otherwise haya yalishapita) au unataka nikuwekee na cv yangu hapa? siyo kila mtu anadate na mtu just for money?Huna lolote wewe, umalaya tuu unakusumbua, kwahyo akija mwingne tena mwenye mapesa unatanua mapaja
AMEENUmesamehewa enenda kwa amani usitende dhambi tena