mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,582
- 19,226
Dondola anakupiga, alafu anakufata tenaAisee pole, hadi unajiachia kwani hao dondola walikua bado wanakufata? Au ni maumivu yake tu hadi watu wanaachia mti na kuanguka? Kama nakuonà ulivobakiwa na manundu ya dondola![]()
Mdukuo wake mmoja kama ngumi ya matumla
Alafu wanakua wachache, watano au wanne hivi. Lakin utatamani ungepigwa ata na jiwe
Acha na mdudu anaeitwa nyigu real definition ya jeshi la mtu mmoja
Kuna mshikaji wangu alipigwa na dondola mdomoni
Yani kumtenganisha na nguruwe hadi uwe nae karibu





