Nilivyonusurika kifo Beit bridge

Kwa huo muda ukioishi huko bila shaka ulijiwekea akiba na kuja kuanza upya Bongo!., ninn ndugu yangu alienda huko ile miaka ya mwanzo kabisa, hapo akapata demu za kiingereza wameenda kuishi Uk, wamepata watoto kadhaa, kiukweli hakuna alichofanya bongo.Baba, mama na ndugu wengine wamefariki hata kuja kutoa Pole ameshindwa...
 
Sikuwa najua basi nikajua ukisema mtz na vile story zetu sijui za kupigania uhuru na bra bra zingine ntaonekana mwamba dah niliukana utz on the sport warundi na wamalawi wanaaminika kidogo
Wamalawi nao siku hizi ni washenzi. Toka wajifananishe na wabongo na wenyewe wamekuwa wasela Mavi.

Wanakaba, wanapiga michomoko ya usiku, wanavaa kata K, na kupiga watu vitasa kama kawa.
 
Ulitisha sana bruh 😄
 
Mkuu,
Ukonga mombasa mitaa gani?
Wale jamaa hawakukufatilia tena?

Nafikiri wale wa kwanza na hao jamaa ni kitu kimoja na kile chakula walichokuwa wanakununulia huenda kilikuwa na madawa.

Sijui walitaka kwenda kukuuza
Pole sana kwa mkasa huo mkuu!
Wangeenda kummaliza wamnyofoe Figo wauze. Duniani ku a deal nyingi chafu. Nadhani kusoma bibilia kulimuokoa huyu
 
Yaani wewe "dogo" mpaka nakuonea wivu! Kwa umri huo mdogo ulitinga South Africa peke yako, ukiwa hujui lugha! Sijui hiyo ndiyo inaitwa "kujilipua!"

Hongera 👏👏👏🙏
 
Tusitishane basi mkuu!

Unataka kuniambia Warundi wanakubalika SA kuzidi Watanzania?

Hawamjui Nyerere?
 
Hata kwa abiria aliyepanda basi la moja kwa moja kutokea Dar kwenda SA kupitia Zimbabwe anaweza kukutana na hiyo changamoto ya kiusalama?
 
Aisee
 
Mbona hakuna watu wanaopakimbilia huko kama nchi zingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…