Nilivyompokonya kigogo mkubwa mwanamke

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
4,334
Reaction score
9,284
Ilikuwa majira ya jioni natoka zangu dubai nashuka mwewe hapo kia

Mwanaume sina wa kunipokea kwa mbali namuona mrembo yupo na kigari flani hivi ki v8 flani hivi cha kama kimilion 400 hivi cha kupigia mtungi pale las vegaz

Taratibu nikamsogelea nikamuomba lifti
Akanipa huyoo mpaka katikati ya mji kwa kuwa nilikuwa mcheshi akanipa namba

Wakuu maelezo yasiewe mengi nishamla baada ya kumla mumewe kapiga simu kuja kucheki kiongozi wa kitengo flani pale ikulu ila ananizidi cheo tu vingine nammudu
 
Utajuaje kwake ni KigariπŸ˜…
yeye ndiye muanzilishi wa huu uzi wa kulilia mishahara ya TAMISENGA na alikuwa analia seriously, leo anasema ametoka Dubai na alafu V8 ya 400m anaiita "Kigari fulani " πŸ‘‡πŸΏ

 
Mkuu,
Kifupi sanaa wewe ndio umeliwa kimasiala πŸ˜‚πŸ˜

NB. Usije sema tunakuonea wivuu πŸ˜”
 
mtumishi wa umma kwenye moja na mbili..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…