jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 5,344
- 7,101
Siyo michepuko tu ata wapenzi wetu nao wanataka wahudumiwe kama mke wa ndoa.Mchepuko una mahitaji km umeolewa vile...![]()
Siyo michepuko tu ata wapenzi wetu nao wanataka wahudumiwe kama mke wa ndoa.Mchepuko una mahitaji km umeolewa vile...![]()
Malaya wa AndroidHao ndio malaya smart tumawaita.sio kama wale wanaojipanga barabarani

, Baki njia kuuKuna siku nilileta uzi humu, kuhusu mchepuko mpya niliyekutana naye, na akaniomba nimuongezee mtaji ili aweze kujiajiri.
Kutokana na mtaji alio uomba ulikuwa mkubwa kiasi fulani; sikuwa mwepesi kutimiza mpaka pale baadhi ya vitu niweze kujiridhisha.