Ngosha Mashine
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 625
- 1,251
Baada ya kupata uhamisho ofisini wa kuja Dar nikitokea Mwanza, nilipanga karibu na bosi mmoja wa kampuni fulani mahali fulani hapa Dar (sipataji nikiogopa kujulikana)
bosi huyo alikuwa akigombana mara kwa mara na mke wake, akimtuhumu kuchepuka, nilikuwa nikishuhudia mke akimzingua bosi huyo karibu kila siku
walikuwa wakija mademu wazuri nyumban kwa bosi huyo, et kuja kufanya mambo yao ya kampuni
sasa kuna siku alikuja mtoto fulan mzuri hatari, na kumbe mke alikuwa akimshakia kuwa ndo anachepuka na mmewe alikaa pale mda fulan kisha akatoka
ile anatoka mke nae akatoka, nikamuona mke wa bosi yule akitizama chini kama kadondosha kitu baadae kidogo nikamuona akizoa mchanga alipokanyaga yule binti kisha akatoa kitambaa cheusi akauweka huo mchanga kwenye hicho kitambaa kisha akarudi ndani
nilikuwa nikimtaman sana mke wa bosi yule, nikajiapiza lazima nimpate nikijifanya mganga kuwa nimeona kwenye maono anataka kumloga mchepuko ya mme wake
ITAENDELEA,,,,,,,,,,,,,