Nilivyomkamata/nilivyompata mke wa pedeshee

Nilivyomkamata/nilivyompata mke wa pedeshee

Basi ikawa alivyokuwa akinitazama, nikamuuliza mbona huna amani?
Akanijibu tulia, nitakueleza mkasa ulivyo ( huku akibubujikwa na machozi)...
Ghafla ikabidi ninyanyuke na kisha nikafungua friji na kutoa juice ya limao iliyochanganywa na siki kidogo nikaimimina kwenye glass na kisha nikamsogelea karibu na kumnywesha....

Itaendelezwa....
 
Haya mastori ya hivi sijui nani huwa anawafundisha. Hayo majuice ni ya kiwandani au ya kutengeza home?
 
Basi baada ya kuwa tumeonana kwa siku ile amekuja gheto akaniuliza huku akinitazama machoni "hv mzalee nikwambia kitu utanikubalia "?

Nami bila hiana nikamwambia kwa sauti iliyojaa mahaba.. Nambie mama wala usijali

ITAENDELEA
 
Pumbafu kabisa yaani huu uongo nao unatuwekea part 1-10?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom