Tatizo wanaume mnataka wanawake wakamilifu (ambao hawapo) kwani hakuna wanaume wanaofanya maovu humu duniani? Mbona wanaoa na wake zao wanawavumilia? Kwahiyo mmeshaona kwamba kwenye ndoa wa kuvumilia ni mwanamke tu ila mwanaume hatakiwi kuvumilia?Ni kweli hata heshima hushuka yaani atakuchulia kama lijinga fulani hivi lisilojitambua. Kwenye magroup yao ya WhatsApp watakusema sana. Mimi nina mfano hai wa jamaa yangu ukimuangalia mtoto na jamaa hawafanani kabisa. Majirani wanasema kuwa mtoto siyo wake, na mhusika wanamjua na majirani wanadai kuwa kabla ya kukutana na jamaa, alishatoa mimba kama 3 hivi mpaka walitaka kumfukuza kwenye huo mtaa. Na baada ya kukutana na jamaa alishawahi kutoa mimba ya mwanaume mwingine.
Hawa viumbe ni balaa sana na sasa hivi wanamsemo wao wa kudanga (Umalaya). Usipotumia akili utajikuta unalea mimba za washikaji.
Mbona wapo wanawake wanaletewa watoto wa wanawake wenzao (michepuko ya waume zao) na wanalea?Kweli tuwe makini sana brother ..wasiojitambua acha walee watoto wa wanaume wenzao
Hao wanawake unaowasema unakuta wamekubali kuleo hao watoto kwa hiari yao baada ya kujua hali halisi..lakini nyi mnasingizia mimba kabisa na kumuaminisha mtu kuwa ni mimba yake ..kwa lazima tuwakatae tuMbona wapo wanawake wanaletewa watoto wa wanawake wenzao (michepuko ya waume zao) na wanalea?
Wewe unaweza lea? Mimi ninayejua mwanamke atakayefanya hayo uliyeandika hapo juu ni yule anayemuabudu Mungu katika roho na kweli. Tofauti na hapo haiwezekani tena kwa wanawake wa sasa. Nitakubishia mpaka kesho kutwa na akikubali kumlea kama hajauliwa basi lazima awe kilema kwa mateso atakayoyapata kutoka kwa mama wa kambo.Mbona wapo wanawake wanaletewa watoto wa wanawake wenzao (michepuko ya waume zao) na wanalea?
Wapo ila hilo la kusingizia mimba hata shetani mwenyewe anakukana. Kwanini usimpe aliyekupa mimba? Hata kama aliyekupa amekataa lea mwanao siyo unaanza kubebesha majukumu mtu wingine kwa zinaa zako. Wote mnabidi mvumiliane ila la kusingiziwa mimba ni BIG NO. Ni bora ujue huyu siyo mwanangu kuliko unalea mtoto kumbe siyo wako na wanawake walivyo sasa. Utakuta kahangaika na mtoto, mtoto kafikisha miaka 10 baba mtoto anataka mtoto unampa. KIbaya zaidi mnapasha na kiporo kabisa. Mimi mwanamke ni bora aniambie ukweli tu kuwa hiyo mimba siyo yangu nitamsaidia kulea kiroho safiTatizo wanaume mnataka wanawake wakamilifu (ambao hawapo) kwani hakuna wanaume wanaofanya maovu humu duniani? Mbona wanaoa na wake zao wanawavumilia? Kwahiyo mmeshaona kwamba kwenye ndoa wa kuvumilia ni mwanamke tu ila mwanaume hatakiwi kuvumilia?
Umeshasema wamekubali kulea baada ya kujua hali halisi ila siyo kabla kwahiyo na ninyi mkizaa nje wake zenu wakakataa kulea watoto wenu wa nje mtawaelewa?Hao wanawake unaowasema unakuta wamekubali kuleo hao watoto kwa hiari yao baada ya kujua hali halisi..lakini nyi mnasingizia mimba kabisa na kumuaminisha mtu kuwa ni mimba yake ..kwa lazima tuwakatae tu
Mfano ndo umezalisha nje halafu ukataka umchukue mtoto wako muishi naye na mke wako ila mke wako akakataa kumlea huyo mtoto wa nje utamuelewa mkeo?Wewe unaweza lea? Mimi ninayejua mwanamke atakayefanya hayo uliyeandika hapo juu ni yule anayemuabudu Mungu katika roho na kweli. Tofauti na hapo haiwezekani tena kwa wanawake wa sasa. Nitakubishia mpaka kesho kutwa na akikubali kumlea kama hajauliwa basi lazima awe kilema kwa mateso atakayoyapata kutoka kwa mama wa kambo.
Wapo ila hilo la kusingizia mimba hata shetani mwenyewe anakukana. Kwanini usimpe aliyekupa mimba? Hata kama aliyekupa amekataa lea mwanao siyo unaanza kubebesha majukumu mtu wingine kwa zinaa zako. Wote mnabidi mvumiliane ila la kusingiziwa mimba ni BIG NO. Ni bora ujue huyu siyo mwanangu kuliko unalea mtoto kumbe siyo wako na wanawake walivyo sasa. Utakuta kahangaika na mtoto, mtoto kafikisha miaka 10 baba mtoto anataka mtoto unampa. KIbaya zaidi mnapasha na kiporo kabisa. Mimi mwanamke ni bora aniambie ukweli tu kuwa hiyo mimba siyo yangu nitamsaidia kulea kiroho safi
Mke wangu hawezi kataa kulea mtoto niliemzaa nje kipindi cha ujana wangu ..maana aliapa atakuwa na Mimi katika shida na rahaUmeshasema wamekubali kulea baada ya kujua hali halisi ila siyo kabla kwahiyo na ninyi mkizaa nje wake zenu wakakataa kulea watoto wenu wa nje mtawaelewa?
Ulikua unawapima kwa ruhusa yao au ulikuwa unawapimaje?
shiiit!....ni bora niishi na single mother kuliko kusingiziwa mtoto.....Kitanda hakizai haramu sheikh
huelewi unachokijibuMbona wapo wanawake wanaletewa watoto wa wanawake wenzao (michepuko ya waume zao) na wanalea?
Ulikua unawapima kwa ruhusa yao au ulikuwa unawapimaje?
Porojo nyingi sana aiseeHuyo mwongo, mkojo wa mtu anaukingaje kirahisi hivo, tena mtu aliyedhamiria.
Mbona wapo wanawake wanaletewa watoto wa wanawake wenzao (michepuko ya waume zao) na wanalea?
Porojo nyingi sana aisee