Nilivyokwepa kusingiziwa mimba 3.

Mtoto niimani mwanamke akishakwambia kuwa mimba/mtoto niwako basi huna haja yakukataa kwamaana amekuamini na ndiomana amekukabidhi kiumbe. Wabaya wale vigeugeu mimba mnapewa wanaume zaidi yammoja ni hatariii sana
Kuna mwanamke mmoja alikuwa ana wanaume 4. Akapata mimba, akampelekea wa 1 akakataa, 2 naye akakataa, 3 akakubali (Mwanamke akadai anasura mbaya hakumpenda) na 4 naye akakataa. Ikibidi mwanamke alee mtoto peke yake.
Unafikiri kosa ni la nani? Ukiona mwanamke mlikuwa mnasex kwa condom halafu siku anakulazimisha umpige peku au anakulazimisha sex hata atumie gharama zake. Ujue hapo unapewa mimba siyo yako. Wewe jidai mahaba niue ulee watoto wasiyo wako. Mwanamke asiyejitambua anapigwa popote pale washikaji
 
Mwanamke humdharau sana mwanaume anaemsingizia mimba ..yani wanaposhika mimba na kuwaambia wale walio wapa mimba alafu wahusika wakaikataa hiyo mimba..njia rahisi wanayotumia ni kumtafuta mwanaume kibonde(dhaifu)na kusingiziwa tu ili mtoto asije kukosa malezi ya baba huku siri ikibaki moyoni mwao..na siku mtoto akikua baba mzazi anakuja kudai mtoto wake..na kawaida mwanamke hawezi mzuia mtoto baba mzazi asiwe na mtoto wake ...hivyo aliyesingiziwa mimba ni ndio hujikuta mjinga tu

Hiyo mtoa mada ni kati ya wanaume wenye busara sana ..na wanaume wafate ushauri wake kuepuka kulea watoto wa wanaume wenzao
 
Kuna msemo mmoja wa kiingereza umasema "When the deal is too good,think twice" yaani kila siku mwanamke alikuwa anakubania sana kufanya nae sex yaani complications nyingi lakini ghafla akabidilka akakulazimisha siku hiyo mkutane,Mara nauli ajigharamia mwenyewe,lodge agharamie hapo ujue unaenda kupewa mzigo ambao sio wako( inaweza kuwa mimba ya mwingine au ukimwii) kwa wanaume wajinga watajua labda huyo mwanamke amebadilika na mapenzi yameongezeka kumbe anapelekwa mtegoni ..lakini kwa sisi wajanja tunangundua kuna mchezo mchafu unataka kufanyika hapa ....hahahh
 
Ni kweli hata heshima hushuka yaani atakuchulia kama lijinga fulani hivi lisilojitambua. Kwenye magroup yao ya WhatsApp watakusema sana. Mimi nina mfano hai wa jamaa yangu ukimuangalia mtoto na jamaa hawafanani kabisa. Majirani wanasema kuwa mtoto siyo wake, na mhusika wanamjua na majirani wanadai kuwa kabla ya kukutana na jamaa, alishatoa mimba kama 3 hivi mpaka walitaka kumfukuza kwenye huo mtaa. Na baada ya kukutana na jamaa alishawahi kutoa mimba ya mwanaume mwingine.
Hawa viumbe ni balaa sana na sasa hivi wanamsemo wao wa kudanga (Umalaya). Usipotumia akili utajikuta unalea mimba za washikaji.
 
Kweli tuwe makini sana brother ..wasiojitambua acha walee watoto wa wanaume wenzao
 
Mtoa mada apa ninawatt wawili alafu alafu wote hawana kipilipili.
Wakat mm na joi tuna vipilipili.
 
Mtoto niimani mwanamke akishakwambia kuwa mimba/mtoto niwako basi huna haja yakukataa kwamaana amekuamini na ndiomana amekukabidhi kiumbe. Wabaya wale vigeugeu mimba mnapewa wanaume zaidi yammoja ni hatariii sana
Hawaaminiki hao, kama alivyopata ujasiri wa kukwambia ni Wako wakati si Wako, ndo huo huo ujasiri Atakao tumia kukwambia kua mtoto si Wako.. Hapo ni Baada ya Miaka kadhaa
 
Upepo umechange mkuu ckuizi wanawake hutukuti tukililia mapenzi....
 
Mtoto niimani mwanamke akishakwambia kuwa mimba/mtoto niwako basi huna haja yakukataa kwamaana amekuamini na ndiomana amekukabidhi kiumbe. Wabaya wale vigeugeu mimba mnapewa wanaume zaidi yammoja ni hatariii sana
So ww unalea tu hata kama una uhakika si wako?
 
Upepo umechange mkuu ckuizi wanawake hutukuti tukililia mapenzi....
Ni kweli na sikweli kwa sababu kuna wanawake wa aina mbili.
1. Single mother + Aliyetoa mimba (Hawa hawawezi kulilia mapenzi na muda wote wanawaza wanaume wabaya)
2. Hawajatoa mimba (Hawa hulilia mapenzi sana)
 
Yaaani umelenga kulekule ndio maana nashupaliaga mabikira hawa hawajui mapenzi mpaka waje wayajue kashanitotolea kama watatu akianza ukiruka njia sina shida nae akafie afrika ya kati
 

Upo sahihi kabisa... mzee wangu alishawai kuniambia hivi....mwangu mwanamke akikuacha wala usinug’unike kwani mwanamke sio pesa. Kwani pesa ikikutoka ndio kazi kuiludisha. Ila sio mwanamke. Mwanamke mwanamke akiondaka jumatatu jumanne unaingiza mwingine
 

Upo sahihi kabisa mkuu.
 
Kweli kabisa mwanamke ndo anatakiwa kulilia penzi ila mwanaume ndo anatakiwa kupigania penzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…