moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,005
Habari ya leo wakuu...? Sijawahi fikiri na kuwaza kama ntakuja kuangukia kwenye penzi lililopelekea kupewa maji yaliyokamuliwa kutoka kwenye chupi kwakupitia mdomo wa mwanamke.
Nilikua naishi mwenyewe kwa mda mrefu bila mahusiano yoyote yale yani nilikua nanunua wanawake ili kukidhi haja zangu lakini miaka ilivyozidi kwenda nikaona inabidi nitafute mwanamke mmoja wa kuingia nae kwenye mahusiano ya uhakika.
Maana niliwaza Kutembea na wanawake wengi sio sifa nzuri kiafya, kiroho na kiuchumi pia, kwani kiafya unaweza pata magonjwa kirahisi sana lakini pia huna amani na afya zao sababu hujawapima na ukabaki unajutia uliyoyaendekeza,pia kiroho nikaona naweza pata maroho machafu machafu na nyota yangu kuzima kabisa lakini nikawaza kuhusu pesa pia nikaona natumia pesa nyingi sana kwa hawa malaya wakati uchumi wangu bado mdogo sana.
Nikaona ni vyema nitafute mwanamke mmoja wakuwa nae kwenye mahusiano ya kweli basi katika harakati zangu nikakutana na mwanamke mmoja mzuri wa kipare tukaanza kufahamiana kwa muda mrefu basi nikatupa nyavu akaingia.
Tukaanza mapenzi sasa kuna siku nikaona niombe mzigo tukakubaliana tutaenda lodge moja sehemu weekend lakini siku hiyo ilipofika akabidilisha venue akaniambia njoo kwangu mi naishi mwenyewe basi nikaona poa ngoja niende bila kujua lengo baya alilopanga.
Ile kufika kwake mabusu mazito yakaanza hatimae uwanjani, nakumbuka alikua anapenda sana denda ,basi mechi ikaisha kesho yake niko geto nikaanza kupata kizunguzungu kikali na kichwa kinauma mno nikaishiwa nguvu nikalala kwenye sakafu ila nguvu za kupiga simu zilikuwepo nikampigia mdogo angu simu akaja ili anipeleke hospitali nikaone tatizo na kutibiwa lakini nikaskia dogo anasema subiri mara ghafla akapandisha maruhani na sijawahi kuona mdogo wangu kapandisha.
Sasa akaanza kuguna kwa sauti baadae akaanza kuongea wewe jana umeenda sehemu mbaya sana umekunywa maji yaliyokamuliwa kutoka kwenye chupi kwakupitia mdomo wa mwanamke,akaongeza akasema ulikoenda jana yule mwanamke alihairisha kwenda sehemu na wewe mliyopanga na akaona bora muende kwake ili afanye shughuli yake aliyoidhamilia.
Kabla ya wewe kwenda alichukua chupi aliyokua ameivaa mchana kutwa akaiweka kwenye bakuli lenye maji kisha akajitoboa kidole kwa sindano ya kushonea nguo akaweka damu tone moja akanuia maneno machafu ndipo akakujulisha uende kwake na ulipofika wakati unagonga kwake akaweka mdomoni yale maji ndio maana ulivyoingia tu akaanza na mabusu mengi na denda na hapo ndipo ulipokunywa maji yalitoka kwenye chupi na lengo lake ni wewe akushike kila sehemu na akawa amekuweka kwenye orodha yake ya kuwa msukule wake ambae atakua anafanya mapenzi ma wewe kwani pale kwake pia ana misukule wanaume wengi wao anafanya nao mapenzi tu.
Wewe mizimu yako ndio imekusaidia sasa chakufanya itabidi uvumilie hayo maumivu halafu nenda kalale ukiamka nenda katafute Udi unaitwa Sai-flora nikapewa maelekezo ya kufanya basi dogo akarudi katika hali yake ile ya kawaida mi nikaenda kulala baadae dogo akaja kuniamsha kuwa msosi tayari nikapiga nikaenda kufanya kama alivyonielekeza usiku saa tatu napokea meseji ya malalamiko kutoka kwa yule mwanamke anasema umeshawahi kwenda kwa mganga nikamjibu hapana akasema ameniota nimeenda kwa mganga ,sikujibu tena meseji zake wala call nikamblock hadi sasa.
Wakuu tujitahidi kuwa makini na mienendo yetu muda wowote unawekwa kati na kama huna ulinzi umeisha!
Mwanaume usiende kwa mwanamke ni sehemu rahisi ya kukutegea chochote usipoelewa utateseka ukiwa mwenyewe!