dada white
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 1,228
- 515
Mwanaumeeeeeeeeeeeee safi sana.
labda wewe uko tofauti,
wanaume wengi wanachukulia kama udhaifu kumkea mtu
ila amekubali kuwa yeye yuko kny hilo kundi kubwa,lol
Ramos ukitaka ufurahi zaidi na mkeo,ongeza makea usione haya lol sema mawifi wawe mbali sie wanawake tunajua kuchonga pia hatareee labda kama ni walee wa kidigitale,kama wale wa analogia hapo mmefeli aisee watachongaa
Hata utumbo una kazi yake... WENZIO WALA NA NDIZI....Utumbo mtupu!!
Mazingira tuliyonayo ndo yamewafanya washangae.........Si kawaida sana hali hiyo kutokea, tena hadharani.... We unayepika si unapikia ndani, hakuna anayekuona hivyo husikii feedback ya ukifanyachoBibie ifike mahali sasa wanawake msikubali kuwatumikia wanaume
hata maandiko hayasemi hivo
wanawake mmetaka wenyewe kutumikishwa
kama mmeoana na mna upendo wa dhati basi kuwe na
usawa katika kazi hata za nyumbani pia kusaidiana.
mwanamke jasiri hataogopa maneno ya mawifi na majirani.
Im married and I do all the domestic job I can afford.
siwezi kusubiri ati mke atoke job anipikie wakati mimi naweza kupika
kama nimewahi home kabla yake naanda dinner nk.
sasa hao wanaompa sifa kisa kabeba tu sahani ya mkewe inabidi niwashangae.
Mazingira tuliyonayo ndo yamewafanya washangae.........Si kawaida sana hali hiyo kutokea, tena hadharani.... We unayepika si unapikia ndani, hakuna anayekuona hivyo husikii feedback ya ukifanyacho
Nakuelewa sana ndugu, hiyo ya kupika ni mfano tu kwa vile wewe ndo umetamka kuwa huwa u nafanya... Kimsingi, kuna kazi jamii imezeweka kuwa ni za kufanywa na mwanamke nazingine mwanaume...eg. kukuna nazi... Katika mazingira yetu ukikutwa mwanume unakuna nazi, ni kwamba watakushangaa, halafu mbaya zaidi ni kuwa hata wewe mkunaji utakuwa unafanya hivyo huku ukijishtukia... Kupeleka watoto shule imekaa kati kati... na ndiyo maana haku wa kukushangaa.... We hujiulizi kwa nini siku hizi kuna matangazo ya kuhimiza akina baba kuwasindikiza akina mama kliniki? Kwa nini hawahimizi watoto wa kiume kuchunga mbuzi? AU kuwa makuli? Ni kwamba jamii imetenga kazi za kufanywa na jinsia fulani... Na wote tuishio kwenye jamii hiyo tukayapokea kama yalivyo... Ndiyo ndiyo maana linatuhangaisha sana hili la kubadili kazi iliyoonekana ya jinsia hii ifanywe na jinsi nyingine...domestic job sio kupika tu ndugu
ziko nyingi zaidi ya hizo nyingine hufanyika nje pia
kama kupeleka watoto shule,kwenda markiti,
kufua nk
Kwenda na wake zetu na viatu vibovu sehem za sherehe ili tuwakee