Nilivyoanza Biashara ya Tofali bila kujua nitakachokutana nacho

Nilivyoanza Biashara ya Tofali bila kujua nitakachokutana nacho

Je tofali zinauzika fasta ukimaliza kufyatua? Tuseme ndani ya wiki mzigo umekata?
 
Tofali 30k ni sawa na matanuli mangapi? Na Kuni kupata siku hizi changamoto kidogo vipi changamoto ya kuchomea mapumba ya mpunga?
Ukitumia pumba za mpunga ndo uhakika kwanza tofali zinaiva vizuri sana halafu hazipqsuki na hauteseki kwenye kuchochea... hapo tofali 30k unaweza panga 6k so ni kama 5 za pumba ila kuni hapo ni tanuru 2 tu
 
Back
Top Bottom