Nilitumia condom lakini anasema ana Mimba yangu

Tuwaseme

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
645
Reaction score
1,198
Pengine ni ufinyu wangu wa
Mawazo au kutokuwa mtaalam ktk mambo ya utungaji wa Mimba ndiyo unafanya niombe ushauri kwenu, lakini sio mbaya kuuliza si ujinga wahenga walisema.

Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa. Ndugu zangu Wanajf ni hivi mpenzi wangu anasema ana Mimba yangu lakini ninachokumbuka mm wakati tunafanya mapenzi nilivaa condom na wala haikupasuka, sasa kama kuna wataalam humu naomba nisaidieni Je hali hiyo inawezekana?

Maana naogopa kuikataa halafu baadae mtoto awe kweli ni wangu na pia naogopa kuikubali haraka haraka kwa sababu mazingira ya Mimba yenyewe siyaelewi.

Je hali hiyo inawezekana kutokea?
 
Hata mi najiuliza,
Mtu kuwa na mashaka na kitu ambacho aba uhakika nacho, hii kweli inaweza kutokea?
 
Pengine ni ufinyu wangu wa
Mawazo au kutokuwa mtaalam ktk mambo ya utungaji wa Mimba ndiyo unafanya niombe ushauri kwenu, lakini sio mbaya kuuliza si ujinga wahenga walisema.

Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa. Ndugu zangu Wanajf ni hivi mpenzi wangu anasema ana Mimba yangu lakini ninachokumbuka mm wakati tunafanya mapenzi nilivaa condom na wala haikupasuka, sasa kama kuna wataalam humu naomba nisaidieni Je hali hiyo inawezekana?

Maana naogopa kuikataa halafu baadae mtoto awe kweli ni wangu na pia naogopa kuikubali haraka haraka kwa sababu mazingira ya Mimba yenyewe siyaelewi.

Je hali hiyo inawezekana kutokea?

Ungejikagua Vizuri Kwani Yawezekana GEGEDO Lako Halipishani Sana Na Silaha Aina Ya Gobole Hivyo Kuna Uwezekana Uliipasua Condom Bila Ya Wewe Kujua.
 
:alien::alien::alien::alien::alien::alien::alien::alien::alien::alien::alien::alien:
 
Kupasuka kwa condom ni issue moja wapo, ila kama umepiga bao lako ukaendelea na pushapu unaweza sababisha leakage kwa juu so ni muhimu unapomaliza tu kumwaga sitisha na ubadilishe. lingine wakati wa romance kama mtu una hamu sana kuna pre-ejaculation ambazo muda mwingine huwa na mbegu so unaweza mpa mimba bila ye wewe kujua.Ushauri wangu sio lazima mpaka umwage ndo ubadilishe condom hata kama condom umeitumia kwa muda mrefu unaweza badilisha na kuvaa mpya ili kupunguza risk ya kupasuka
 
Pole yako kwa kukosa pa kusimamia. Lakn umetudanganya...kuwa umefahamishwa mpnz wako ni mjamzito baada ya kushiriki naye ngono kwa njia ya condom. Je, wajua kwa nn ulivaa iyo gloves? Je, mara yako ya kwanza kufany ivo? Je,pia huna hakika kama gloves yako ilipasuka na wala yeye hakukujulisha kama gloves imepata pancha?

Kama haikupasuka, unahakika, mwambie nyuma geuka...na achague uelekeo wa kwenda kwa kuwa ana nia ya kukuhujumu kwa kuanzia kukupiga hela...maana anasomeka bayana.

La, mchukie mpaka hosptal apime iyo mimba ina cku ngapi....afu ufanye makadirio tangu cku iyo ulipomuingilia adi tar ya kusomeka mimba ukuaji, je kuna uwiano???
Jibu utakalopata ndo ulifanyie uamuzi. HALA HALA,,,,,,UKIISHI KWA KUBAHATISHA NAMNA HIYO....basi kubali yaishe...na hata ukioa ujue KITANDA HAKIZAI HARAMU. ati....huna hakika...kweli!!!
 
Pengine ni ufinyu wangu wa
Mawazo au kutokuwa mtaalam ktk mambo ya utungaji wa Mimba ndiyo unafanya niombe ushauri kwenu, lakini sio mbaya kuuliza si ujinga wahenga walisema.

Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa. Ndugu zangu Wanajf ni hivi mpenzi wangu anasema ana Mimba yangu lakini ninachokumbuka mm wakati tunafanya mapenzi nilivaa condom na wala haikupasuka, sasa kama kuna wataalam humu naomba nisaidieni Je hali hiyo inawezekana?

Maana naogopa kuikataa halafu baadae mtoto awe kweli ni wangu na pia naogopa kuikubali haraka haraka kwa sababu mazingira ya Mimba yenyewe siyaelewi.

Je hali hiyo inawezekana kutokea?

Kama mambo yenyewe ndio hay a,inabidi kizazi cha watoto wa kiume kuwakuza kuwa wanaume na sio wavulana.something wrong somewhere!
 
Kupasuka kwa condom ni issue moja wapo, ila kama umepiga bao lako ukaendelea na pushapu unaweza sababisha leakage kwa juu so ni muhimu unapomaliza tu kumwaga sitisha na ubadilishe. lingine wakati wa romance kama mtu una hamu sana kuna pre-ejaculation ambazo muda mwingine huwa na mbegu so unaweza mpa mimba bila ye wewe kujua.Ushauri wangu sio lazima mpaka umwage ndo ubadilishe condom hata kama condom umeitumia kwa muda mrefu unaweza badilisha na kuvaa mpya ili kupunguza risk ya kupasuka

there is no way hata ivuje vipi ikasababisha mimba...
Huyu Anasakiziwa and thats it..
Hata kama condom ilipasuka ..speed ya bao kama ilikua altered na miplastic hiyo na mafuta ya ndomu ..umbali wa nguvu za sperm kuswim ni mdogo sana na nyingi hufa njian..
si unajua bao contains billions of sperms and only thousands manage to swim far enough..zingingine hufa njiani..not even far
 
Ngoja mtoto azaliwe upime vina7
 
Kupasuka kwa condom ni issue moja wapo, ila kama umepiga bao lako ukaendelea na pushapu unaweza sababisha leakage kwa juu so ni muhimu unapomaliza tu kumwaga sitisha na ubadilishe. lingine wakati wa romance kama mtu una hamu sana kuna pre-ejaculation ambazo muda mwingine huwa na mbegu so unaweza mpa mimba bila ye wewe kujua.Ushauri wangu sio lazima mpaka umwage ndo ubadilishe condom hata kama condom umeitumia kwa muda mrefu unaweza badilisha na kuvaa mpya ili kupunguza risk ya kupasuka
Atakuwa ali-brash zile pages kidogo ili asikilizie na wazungu wakapenya hapohapo.
 
utakuwa unasingiziwa mkuu hakuna mimba inayoweza kuingia bila kondomu kupasuka
 
Pengine ni ufinyu wangu wa
Mawazo au kutokuwa mtaalam ktk mambo ya utungaji wa Mimba ndiyo unafanya niombe ushauri kwenu, lakini sio mbaya kuuliza si ujinga wahenga walisema.

Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa. Ndugu zangu Wanajf ni hivi mpenzi wangu anasema ana Mimba yangu lakini ninachokumbuka mm wakati tunafanya mapenzi nilivaa condom na wala haikupasuka, sasa kama kuna wataalam humu naomba nisaidieni Je hali hiyo inawezekana?

Maana naogopa kuikataa halafu baadae mtoto awe kweli ni wangu na pia naogopa kuikubali haraka haraka kwa sababu mazingira ya Mimba yenyewe siyaelewi.

Je hali hiyo inawezekana kutokea?

una umri gani?
 
​Wakati wewe unatumia ndom, kuna njemba nyingine hucheza peku peku, STUKA!!
 
Back
Top Bottom