Nilitumia condom lakini anasema ana Mimba yangu

Nilitumia condom lakini anasema ana Mimba yangu

Inakuaje anasema ana mimba yako wakati ipo kwenye tumbo lake!!!
 
there is no way hata ivuje vipi ikasababisha mimba...
Huyu Anasakiziwa and thats it..
Hata kama condom ilipasuka ..speed ya bao kama ilikua altered na miplastic hiyo na mafuta ya ndomu ..umbali wa nguvu za sperm kuswim ni mdogo sana na nyingi hufa njian..
si unajua bao contains billions of sperms and only thousands manage to swim far enough..zingingine hufa njiani..not even far

Kweli nakubaliana na wewe kuwa bao moja lina billions of sperms but only thousands rich destination ila hapa pia inategemea na condition gani ya ukeni kama msichana yuko kwenye mazingira mazuri ya kupata ujauzito atapata kwa mistake ndogo sana
 
Pengine ni ufinyu wangu wa
Mawazo au kutokuwa mtaalam ktk mambo ya utungaji wa Mimba ndiyo unafanya niombe ushauri kwenu, lakini sio mbaya kuuliza si ujinga wahenga walisema.

Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa. Ndugu zangu Wanajf ni hivi mpenzi wangu anasema ana Mimba yangu lakini ninachokumbuka mm wakati tunafanya mapenzi nilivaa condom na wala haikupasuka, sasa kama kuna wataalam humu naomba nisaidieni Je hali hiyo inawezekana?

Maana naogopa kuikataa halafu baadae mtoto awe kweli ni wangu na pia naogopa kuikubali haraka haraka kwa sababu mazingira ya Mimba yenyewe siyaelewi.

Je hali hiyo inawezekana kutokea?

Ndugu yangu hakuna kitu kama icho kwa uzoefu wangu mm mwenyewe ni mtumiaji mzur tu wa condom na tangu nianze kugonga kwa kutumia condom cjawai mpa mtu mimba tangu enzi izo so nataka kukwambi ivi uyo mtu wako asije kukuchezea mchezo mchafu mimba isije kapewa nnje huko msala akupe wewe by ze way mpk wewe unacomplaini ujue unafaamu hali halisi kati ya wewe na mchumba wako so ushaur wangu nenda kapime ujauzito ujue ni mda gani coz mimba uwa inaonekana ni ya mda gani itajulikana tu mkuu ila pole kwa matatizo mkuu.
 
Kuwa makini mkuu.. Kuna wenzako wanaweza kuwa wajanja zaidi yako

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
kama ulitumia una hakika haikupasuka??? je hapo nyuma mlikua mnatumia au mlienda kavkav?? kingine nenda hospital akapime mjua ana mimba ya muda gani utaweza pata majibu yako
 
Hapo wewe utakuwa baba mlezi maana haiwezekani utumie ndom tena haikupasuka haf unaambiwa mimba imeshika labda kwa uwezo wa roho mtakatifu.
 
hahahahahahah JF mpka raha sasa umri wewe unautakia nini mkuu umenichekesha sana
unapotakiwa kumpa mtu ushauri lazima uangalie na umri wake pia kilichokuchekesha wewe ni nini
 
Back
Top Bottom