Asprin JF-Expert Member Mar 8, 2008 68,012 95,358 Jul 7, 2011 #123 shosti said: hahahahaahah mi mzima kabisa...japo hutaki pita mwananyamala! Click to expand... Kaizer said: heheheh...we dare si ndio...nauliza ivi... SALIMIA ako wapi manake kaja hapa katia tena avatar yake ile ila hatuioni mambo shosti....leo nakuja......Babu anakusalimia apo juu Click to expand... Kaizer said: hommie shosti kanitishia apo juu umeona ? Click to expand... GY said: Kwahiyo mmekonkludi kuwa tuliite daraja la kikwete sio hata kama hela tumekopa korea...au? Click to expand... Najaribu kutafakari: Hivi hii thread tunajadili kitu gani hasa?
shosti said: hahahahaahah mi mzima kabisa...japo hutaki pita mwananyamala! Click to expand... Kaizer said: heheheh...we dare si ndio...nauliza ivi... SALIMIA ako wapi manake kaja hapa katia tena avatar yake ile ila hatuioni mambo shosti....leo nakuja......Babu anakusalimia apo juu Click to expand... Kaizer said: hommie shosti kanitishia apo juu umeona ? Click to expand... GY said: Kwahiyo mmekonkludi kuwa tuliite daraja la kikwete sio hata kama hela tumekopa korea...au? Click to expand... Najaribu kutafakari: Hivi hii thread tunajadili kitu gani hasa?
Asprin JF-Expert Member Mar 8, 2008 68,012 95,358 Jul 7, 2011 #124 Lizzy said: Shoga mbona kama wanpenda kupitiliza?!Wantisha sasa mtoto wa watu.... Click to expand... Salimia said: acha kujidanganya! akupende nani? Click to expand... Lizzy said: Wewe ulienijaza kwa akili...jina langu ni kama HITAJI kwako...bila kulitaja hupati raha....! Click to expand... Refarii niko tayari kwa pambano........!
Lizzy said: Shoga mbona kama wanpenda kupitiliza?!Wantisha sasa mtoto wa watu.... Click to expand... Salimia said: acha kujidanganya! akupende nani? Click to expand... Lizzy said: Wewe ulienijaza kwa akili...jina langu ni kama HITAJI kwako...bila kulitaja hupati raha....! Click to expand... Refarii niko tayari kwa pambano........!
S Sweetlove Member Apr 18, 2011 55 15 Jul 7, 2011 #125 Kaizer said: nashangaaa..nilikuwa napita tu... Click to expand... mi naona wewe unashangaa kidogo!!
Kaizer Platinum Member Sep 16, 2008 25,320 17,823 Jul 7, 2011 #126 Sweetlove said: mi naona wewe unashangaa kidogo!! Click to expand... hahahah, sweeties, we umeshangaa sana? LOL
Sweetlove said: mi naona wewe unashangaa kidogo!! Click to expand... hahahah, sweeties, we umeshangaa sana? LOL
Asprin JF-Expert Member Mar 8, 2008 68,012 95,358 Jul 7, 2011 #127 Sweetlove said: mi naona wewe unashangaa kidogo!! Click to expand... Kaizer said: hahahah, sweeties, we umeshangaa sana? LOL Click to expand... Ahaa.... kama kawaida siyo... Haya tuendelee hommie.
Sweetlove said: mi naona wewe unashangaa kidogo!! Click to expand... Kaizer said: hahahah, sweeties, we umeshangaa sana? LOL Click to expand... Ahaa.... kama kawaida siyo... Haya tuendelee hommie.
Dr Lizzy Platinum Member May 25, 2009 30,823 59,439 Jul 7, 2011 #128 Asprin said: Refarii niko tayari kwa pambano........! Click to expand... Upi tena?!
Asprin JF-Expert Member Mar 8, 2008 68,012 95,358 Jul 7, 2011 #129 Lizzy said: Upi tena?! Click to expand... Si huo mpambano wenu?
Dr Lizzy Platinum Member May 25, 2009 30,823 59,439 Jul 7, 2011 #130 Asprin said: Si huo mpambano wenu? Click to expand... Wenu kina nani?!Mi SIMO!