FourTwoNet JF-Expert Member Joined Aug 4, 2022 Posts 1,401 Reaction score 2,760 Aug 9, 2022 #21 Buda boss!!! Maswali wachia waaalimu, weeeh twanga na uhakikishe umepepeta uo msondo ngoma! Ala!!
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 10,648 Reaction score 9,061 Aug 9, 2022 #22 SWALI LANGU ni je ile siku ya kwanza alivyoamua kuja hotelini hakujua ambayo yangeweza kutokea? Au ni kwamba ana danga hapa mjini? inabidi umuulize mhusika mwenyewe atakupatia jibu sahihi.
SWALI LANGU ni je ile siku ya kwanza alivyoamua kuja hotelini hakujua ambayo yangeweza kutokea? Au ni kwamba ana danga hapa mjini? inabidi umuulize mhusika mwenyewe atakupatia jibu sahihi.
EEX JF-Expert Member Joined Oct 19, 2014 Posts 4,397 Reaction score 14,257 Aug 9, 2022 #23 Huyu jamaa alianza biashara ya chai na birika 1 na kigoda .Wahindi wapambanaji kweli.
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 62,046 Reaction score 127,608 Aug 9, 2022 #24 [emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti tukafanya tendo la ndoa