Nilitegemea kumuona Mwakyembe badala ya engineer Mfugale

Zil
Kama umemuona mfugale basi jua alikuwa anaongelea ujenzi kabisa upande wa engineering na architecture.
Ulitaka mtu wa habari na sheria aje akielezee shughuli na hatua za ujenzi?
Zile hostel za mlimani zilijengwa na tanroads?
 
mwakyembe anaweza kutoa taarifa za kitaalamu za ujenzi na gharama za ujenzi?
 
Nimeona clip from ikulu ikimuonesha engineer Mfugale mkurugenzi mkuu wa Tanroad akitoa ufafanuzi juu ya ujenzi wa uwanja wa mpira Dodoma.

Nilitegemea kumuona mh mwakyembe au naibu wakitoa ufafanuzi lakini cijawaona au Tanroad wanajenga viwanja?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani dhani ya "uwakilishi" unauelewa?
 
Wakipewa wataalamu kufanya mambo mnalalamika, wakifanya wanasiasa mnalalamika. Ulitaka mwakyembe aongee technical aspects za ujenzi wa uwanja na hizo ring roads? Kweli ujinga furushi!!!
 
Sio Dhambi kwa Engineer kuelezee Jambo Kama lile la Uwanja,Tena kwa taarifa pale angekuwepo pia na waziri wa Mali asili na Utalii ili aeleze vizuri kivutio cha Mlima Kilimanjaro kwenye uwanja wa Mpira.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tuache siasa kwenye mambo ya msingi, TANROADS na uwanja wa mpira wapi na wapi? Katika hali ya kawaida tulitarajia wahusika wa wizara ya michezo ndo wangeonekana wakitoa maelezo. Halafu, hivi maelezo ya Mfugale jana yalikuwa ya kitaalamu kiasi gani hata yashindwe kutolewa na wahusika?
 
Back
Top Bottom