Nilitaka kumuoa akakataa kisa dini

Nilitaka kumuoa akakataa kisa dini

Na wewe una shida kwenye dini yako waumini wote waliopo hukuona wa kuoa Hadi ukaparamie Muislamu.Huko vizuri kichwani.
Mbona kasema alioa WA dini yake [emoji276]au shida n gani
 
Kila anachopitia mja ni mipango ya Mungu apitie sio sababu ya kukataa Kuwa na wewe,je ungemuoa akapata maradhi asiinuke kitandani miaka ungesema ni kwasababu Yako?
 
Kuna mshkaji alikuwa kama ww, akaamua kubadili na akajiita selemani..but ilikuwa kumridhisha tuu, akampiga mimba na kazaa...ila dini yake anayo ya kikristo...chair fire , mitungi etc anapiga fresh tuu
Hii ndio maana halisi ya mwanaume kua na mbinu!!!!
 
Back
Top Bottom