Nilisingiziwa kesi ya kumpa mimba mwanafunzi, nafikiria kufungua mashitaka ya udhalilishaji

Achukue case study kwa oscar yule mwanariadha mlemavu baada ya kukata rufaaa shauri lilichukua mwelekeo upi,maadam umeponyoka mdomoni mwa simba just kaa kimya kubali matokeo,

Mbamjo
Kabisa Mkuu,
Inaonekana waafrika wengi hatujifunzi kwa makosa ya wenzentu au yetu ya hapo awali.

Mahakamani huwa hawana hiyana watamzawadia kifungo cha maisha very soon huyo boy anayejiita inyele .
 
nilichokisoma ni kuwa umepata ushawishi kwa watu ambao wameibui hisia zako nawe umekubaliana nao bila kufanya upembuzi yakinifu! ukifungua mashtaka kumbuka kuna wewe kutiwa hatiani kwa kutoa rushwa pia kujihusisha mapenzi na mwanafunzi! unafikiri wale polisi wahusika na mzazi watakubali watiwe hatiani..? nachokiona watafanya juu chini kuhakikisha hatia hiyo inawaepuka!

mkuu fanya mambo yako hili lifute kichwani mwako utajajikuta unatumia gharama bure kwa msala upitao.
 
Kwa nini usidai mimba yako?Si uliwekwa lockup kwa kumpa mimba?pliz mwambie unataka mtoto wako tafadhali.kama ameitoa mshitaki!
 
nilichokisoma ni kuwa umepata ushawishi kwa watu ambao wameibui hisia zako nawe umekubaliana nao bila kufanya upembuzi yakinifu! ukifungua mashtaka kumbuka kuna wewe kutiwa hatiani kwa kutoa rushwa pia kujihusisha mapenzi na mwanafunzi! unafikiri wale polisi wahusika na mzazi watakubali watiwe hatiani..? nachokiona watafanya juu chini kuhakikisha hatia hiyo inawaepuka!

mkuu fanya mambo yako hili lifute kichwani mwako utajajikuta unatumia gharama bure kwa msala upitao.
Asante mkuu kwa ushauri..vipi kuhusu wao KUDANGANYA hili nalo sio kosa kwa upande wao?
 
NB: Nilikubali kulipa kwani kipindi hicho nilikuwa sijui lolote kuhusu ukweli wa mambo yaani hata kujua kuwa binti ni mjamzito au la sikujua!!

Baada ya kujiridhisha na uchunguzi wangu nilikataa kutoa rushwa tena nikawaambia polisi na mzazi wa binti sina hela nyingine hivyo wachague moja kati ya kufuta shitaka au waamue twende mahakamani

Hii story yako ume edit...kuna details in between hujaziweka wazi. Huyo mtoto ulimla!

Halafu toka April ndio unazinduka leo na madai? Au ulivyokutana nae juzi huyo mtoto ndio alikutegulia hicho kitendawili ndio hasira za kuanza kujisafisha zimekujia?

Ndugu, kimbia! Acha kuamsha mengine! Kama walishakuingiza tabuni mara ya kwanza huwezi jua na sasa hivi wamejipanga vipi? Hujifunzi tu mkuu?

Kama kweli uliumia kuwekwa lock up, kilichokufanya tena ukutane na huyo binti kwa faragha kwako ni kitu gani? Ikikurudie tena hiyo jamii unayosema haikuamini na haikuheshimu itakuona wewe ni mtu wa aina gani? Think!
 
Vifungu sasa we jipeleke
Mkuu nashukuru kwa mawazo yako mazuri .. Sijachukua maamuzi yoyote hadi sasa ndio maana najaribu kupata mitizamo kutoka kwenu! Tuelimishane kwa ufafanuzi mzuri ikiwezekana hata kuangalia sheria zinasemaje lakini sidhani kama iko poa sana kujibu hoja kwa mkato
 
Kilaza wewe, yaani ulikubalu tena kuonana na binti faragha hata baada ya kesi kuisha. Siwezi kuwa wakili wako sababu maelezo yako yenyewe yatakufunga, hujui kuongea wala kujitetea.
 
Ina maana walikukamata na kukufukuza kazi bila huyo binti hakupimwa mimba ??

Au ulimgegeda unatuficha?
 
Kama ni kweli hukumla suala la kam alikuwa na mimba kweli au hakuwa nayo lilikuwa immaterial. Nashangaa rushwa ulikuwa unatoa za nini wakati unadai hukumlala. Njia ya mwongo fupi.
 
Back
Top Bottom