Nilisingiziwa kesi ya kumpa mimba mwanafunzi, nafikiria kufungua mashitaka ya udhalilishaji

Sababu ya kutuhumiwa na kulala lockup ...jamaa walisema hata kama tuhuma si za kweli wew hawawezi kuendelea kuwa nawe kazini
Termination leta wamekupa mkuu mbona una hela nyingiiii hapo za fidia au kuna mkataba uliosain yenye kukuhumu kwa tuhuma
 
Duh pole kwa yaliyokupata. So far sikushauri kufungua mashitaka. Kesi huwa zinachukua muda mrefu, nguvu na akili. Hiyo kesi itakupotezea muda wako na fedha pia. Acha mambo yaliyopita yawe yamepita. Wewe endelea na shuguli zako za utafutaji na heshima yako itarudi tu. Wewe sio wa kwanza kukumbwa na kadhia kama hiyo...
Ila pia wewe mwenyewe ulifanya mistake ya kutongoza denti maana usingefanya hivyo hayo yote yaliyokupata yasingekupata. Pia usiilaumu jamii ya Watanzania kwa kuamini juu ya hilo maana hata wewe umekiri kuwa watu kibao walikuwa wanajua kua ulikuwa unatoka na yule binti kitu ambacho chochote kinapotokea watu huamini kiurahisi kuwa ulihusika.
 
Aiseeee..... Umenipa fundisho... Kuna kadada jirani yangu kananizoea sana cjuh hata kama kamefikisha miaka 18..... Nimeshamshtukia atakuwa anataka kuplay game na mzazi wake... Na kwa jinsi vyuma vilivyokaza (hapati mtu ng'o)
 
Barua walinipa sababu kuu ndio kama niliyoeleaza awali japo tulipelekana kwenye mamlaka za Ajira wakanilipa ingawa sidhani kama stahiki zote nililipwa
 
Wamekulipa nn
1.likizo
2.kiinua mgongo
3.nssf/ppf etc
4.remedies za unfair termination
Kipi kati ya hizi hujapta
 
Acha upoyoyo na porojo.

Zaidi shukukru Mungu kuwa umekoswakoswa na 30+ years in jail.

Tukienda kwa haki kabisa una makosa maana; ulikuwa na nia ya kufanya mapenzi na mwanafunzi na kwa maelezo yako inaonekana hata elimu yako ni majanga yaani; hujui hata binti/ mwanamke aliye mjamzito au la.

Any way, fungua kesi halafu wakushinde ili baada ya hapo; wakufungulie kesi nyingine ili ufungwe maisha kabisa jela kama wenzako akina Babu Seya sijui jina jingine ni Papi Kocha.
Unaongea kama sio msomi mkuu...sasa mambo ya kuitana poyoyo yana kazi gani?!!! Hiyo 30+ plus unayosemea kwa kosa gani kwa mfano?!!
 
Wakuu nikifikiria jinsi hadhi yangu kwenye jamii ilivyochafuka nashikwa na hasira sana na natamani kurudisha heshima yangu kama zamani na watu wananiambia hakuna namna nyingine zaidi ya kufungua mashitaka dhidi ya udhalilishaji ule ambao ulinichafua sana!
Hahahaahha Njoo kwetu upareni, sisi tunauza shamba kw akesi ya Kuku, Waulize Tigo Tanzania wananijua uzuri sasa hivi, tulipelekana mbali na nilisimama mwenyewe hakuna cha sijui nani wala nani huko.....pumbavu kabisa, yaani na wewe bwege kwelim hujala halafu unakubali mimba ni yako? Ulimtumia kwa sms hio Mimba?? Kuna mambo ya kusamehe sio hilo aiseeee

Ninasamehe mengi sana. Ila kuna upuuzi huwa ni lazima nilipize kwa njia za kistaarabu
 
Duh pole kwa yaliyokupata. So far sikushauri kufungua mashitaka. Kesi huwa zinachukua muda mrefu, nguvu na akili. Hiyo kesi itakupotezea muda wako na fedha pia. Acha mambo yaliyopita yawe yamepita. Wewe endelea na shuguli zako za utafutaji na heshima yako itarudi tu. Wewe sio wa kwanza kukumbwa na kadhia kama hiyo...
Ila pia wewe mwenyewe ulifanya mistake ya kutongoza denti maana usingefanya hivyo hayo yote yaliyokupata yasingekupata. Pia usiilaumu jamii ya Watanzania kwa kuamini juu ya hilo maana hata wewe umekiri kuwa watu kibao walikuwa wanajua kua ulikuwa unatoka na yule binti kitu ambacho chochote kinapotokea watu huamini kiurahisi kuwa ulihusika.
Asante mkuu
 
Aiseeee..... Umenipa fundisho... Kuna kadada jirani yangu kananizoea sana cjuh hata kama kamefikisha miaka 18..... Nimeshamshtukia atakuwa anataka kuplay game na mzazi wake... Na kwa jinsi vyuma vilivyokaza (hapati mtu ng'o)
Ukweli mtupu huo mkuu...take care!
 
Unaongea kama sio msomi mkuu...sasa mambo ya kuitana poyoyo yana kazi gani?!!! Hiyo 30+ plus unayosemea kwa kosa gani kwa mfano?!!

Ukishindwa kesi elewa kabisa sasa kuwa wazazi Binti na polisi watakushitaki utakula mvua nzuri sana ya hukumu yaani life sentence Kama Babu Seya a.k.a Papi Kocha.

Naomba niishie hapo.
 
Acha upoyoyo na porojo.

Zaidi shukukru Mungu kuwa umekoswakoswa na 30+ years in jail.

Tukienda kwa haki kabisa una makosa maana; ulikuwa na nia ya kufanya mapenzi na mwanafunzi na kwa maelezo yako inaonekana hata elimu yako ni majanga yaani; hujui hata binti/ mwanamke aliye mjamzito au la.

Any way, fungua kesi halafu wakushinde ili baada ya hapo; wakufungulie kesi nyingine ili ufungwe maisha kabisa jela kama wenzako akina Babu Seya sijui jina jingine ni Papi Kocha.
Achukue case study kwa oscar yule mwanariadha mlemavu baada ya kukata rufaaa shauri lilichukua mwelekeo upi,maadam umeponyoka mdomoni mwa simba just kaa kimya kubali matokeo,
 
Mambo mengine mnayatafuta wenyewe unajua ni mwanafunzi unamtongoza umle wa nini??? Au ndio kupenda vya bure madenti hawana gharama
 
Back
Top Bottom