PrincessAnne
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 1,875
- 2,222
Kutongoza na kumrubuni mwanafunzi kwa lengo la kumla papuchiUnaongea kama sio msomi mkuu...sasa mambo ya kuitana poyoyo yana kazi gani?!!! Hiyo 30+ plus unayosemea kwa kosa gani kwa mfano?!!
Kutongoza na kumrubuni mwanafunzi kwa lengo la kumla papuchiUnaongea kama sio msomi mkuu...sasa mambo ya kuitana poyoyo yana kazi gani?!!! Hiyo 30+ plus unayosemea kwa kosa gani kwa mfano?!!
Achukue case study kwa oscar yule mwanariadha mlemavu baada ya kukata rufaaa shauri lilichukua mwelekeo upi,maadam umeponyoka mdomoni mwa simba just kaa kimya kubali matokeo,
Kutongoza na kumrubuni mwanafunzi kwa lengo la kumla papuchi
Ndio vifungu vinavyosema au mtazamo tuKutongoza na kumrubuni mwanafunzi kwa lengo la kumla papuchi
Asante mkuu kwa ushauri..vipi kuhusu wao KUDANGANYA hili nalo sio kosa kwa upande wao?nilichokisoma ni kuwa umepata ushawishi kwa watu ambao wameibui hisia zako nawe umekubaliana nao bila kufanya upembuzi yakinifu! ukifungua mashtaka kumbuka kuna wewe kutiwa hatiani kwa kutoa rushwa pia kujihusisha mapenzi na mwanafunzi! unafikiri wale polisi wahusika na mzazi watakubali watiwe hatiani..? nachokiona watafanya juu chini kuhakikisha hatia hiyo inawaepuka!
mkuu fanya mambo yako hili lifute kichwani mwako utajajikuta unatumia gharama bure kwa msala upitao.
NB: Nilikubali kulipa kwani kipindi hicho nilikuwa sijui lolote kuhusu ukweli wa mambo yaani hata kujua kuwa binti ni mjamzito au la sikujua!!
Baada ya kujiridhisha na uchunguzi wangu nilikataa kutoa rushwa tena nikawaambia polisi na mzazi wa binti sina hela nyingine hivyo wachague moja kati ya kufuta shitaka au waamue twende mahakamani
Vifungu sasa we jipelekeNdio vifungu vinavyosema au mtazamo tu
Mkuu nashukuru kwa mawazo yako mazuri .. Sijachukua maamuzi yoyote hadi sasa ndio maana najaribu kupata mitizamo kutoka kwenu! Tuelimishane kwa ufafanuzi mzuri ikiwezekana hata kuangalia sheria zinasemaje lakini sidhani kama iko poa sana kujibu hoja kwa mkatoVifungu sasa we jipeleke
Huyu aligegeda, huoni anavyojichanganya?Ina maana walikukamata na kukufukuza kazi bila huyo binti hakupimwa mimba ??
Au ulimgegeda unatuficha?