Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
Nasikia eti mi ndo mwenye show za kibabeNasikia eti w.end hii tutakuwa wote eti!!!
Nasikia eti mi ndo mwenye show za kibabeNasikia eti w.end hii tutakuwa wote eti!!!
Mapema iwezekanavo swahiba...Swahiba naskia mazishi yake ni hivi karibuni
Teh teh..Mzigo wa pilipili??..Ulivyoona nakula ukahisi nafaidi ehee??..Wengine sisi ni machotara wa kihindiTeh... chukua mzigo wako tu
Teh teh..Mzigo wa pilipili??..Ulivyoona nakula ukahisi nafaidi ehee??..Wengine sisi ni machotara wa kihindi


.

Nasikia eti yakipasuka huwa hayana samani tenaNilisikia eti yakindondoka yanapasuka....
Pole aiseeeNdio chanzo jembe
Unaongea na mimi?Nasikia eti mi ndo mwenye show za kibabe
Naongea na thimuUnaongea na mimi?
naskia eti wewe ni mla papuchi za wazee hapa mjiniMapema iwezekanavo swahiba...
nasikia eti unanitaka
Naskia eti ndiyo staili yako mpya ya kunirubuni.nasikia eti unanitaka
Nilisikia kwamba jana vyeti vingewekwa hadharani ila nahisi nilidanganywa
nimesikia eti ndo nlidanfanywa jumla sijui kweli?Nimesikia mtu anasema ole wako urubunike.Naskia eti ndiyo staili yako mpya ya kunirubuni.
Aiseee nasikia tulidanganywa.....![]()
![]()
nimesikia eti ndo nlidanfanywa jumla sijui kweli?
Nilisikia kwamba eti ukicheka yanakurudia...![]()
![]()
![]()
Viva JF!
Ndo unajibuje..Me too??Mith yuuuuu![]()
![]()
![]()