Nilishindwa kuzikabiri hisia zangu

Nilishindwa kuzikabiri hisia zangu

honey bee

Senior Member
Joined
Nov 23, 2021
Posts
139
Reaction score
236
Nilikuwa nikiskia kesi za baba mwenye nyumba kutembea na mfanyakazi wake wa ndani angali yuko na mke, niliona kama ni upuuzi unafanywa hivi! Niliwahi ishuhudia kesi ya namna hii, mwanamke wakati anatoka kazini, akamkuta mme wake akiwa na house girl chumbani kwake, ingawaje wakati wanaondoka asubuhi! Mwanamke aliondoka na mme wake, kumbe alivyofika njiani alikunja kona kurudi nyumbani!

Twende kwenye kisa changu japo kwa ufupi!
Mtoto wa baba mkubwa wangu (binti) sikuwahi onana nae kwa kipindi kirefu sana!! Ni miaka kama minne hivi!! Lakini mwezi Desemba mwaka jana alikuja nyumbani kutembea, na mimi kipindi hicho nikikuwa nyumbani. Mapokezi yalikuwa mazuri tu na maisha yakasonga!

Wiki moja baadae, wanafamilia walitoka out kidogo!! Mimi nilikuwa sijiskii vizuri kiukweli, hivyo sikuwa tayari kwa out! Huyo binti na yeye akasema atabaki kuniangalia!

Sielewi ilikuwaje! ila nilijikuta namuangalia kwa jicho la tatu! Alikuwa sensitive sana, pindi nilipomwangalia nae alinigeukia mda huo huo kwa haraka sana! Tukajikuta tunatabasam, (shetani akafungua mlango akaingia ndani akakaa katikati yetu ili afanye yake)

Niliamua kubadilisha channel nikaweka wasafi tv wakati muda huo binti alitaka star swahili! Mchezo wa kunyang'anyana remote ukaanzia hapo, tukajikuta tunabadilishana mate! Hatukuulizana chochote na wala hatukuwa na wasiwasi tena, tukajikuta tuko tupu ingawaje mlango haukuwa hata umefungwa na funguo! Tumedumu muda mrefu sana! Mpaka nime satisfy ndo tukaanza kuoneana aibu! Nikaingia chumbani ndo wazo la kuwa huyu ni ndugu yangu likaja! Issue tulipiga kimya, ikawa siri yetu! Dah!! Ni zaidi ya binamu!!

Juzi alinitafuta kwenye simu akauliza kuwa sikukuu hizi nitakuwepo nyumbani? Anasema kani miss sana kuniona! Anatumia kigezo cha eti kamisi vituko vyangu!!

Itoshe tu kuishia hapa!
Ngoja mje kunipa mwongozo.....
 
Making a decision is the beginning of things. Decisions are like a mystery, they lead us to where we would never have reached before making our decision. Once you start following your decisions, be quite sure you are heading towards things you would never have experienced before the decision.
Kwa kifupi rekebisha uamuzi uliouanza kabla haujaamua huo uamuzi kuchukua mkondo wa maisha yako mbeleni. Asante na samahani kwa kukukaripia kwa sababu huenda unanizidi umri.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Ndg yangu hata akikaa uchii mkuyenge hausimami, wewe uliwezaje au huyo Hana nasaba na ukoo wenu

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Nahisi ni kwa sababu picha ya undugu haikuwa saved well kwa kichwa! Isitoshe ni muda mrefu tokea tuonane! Na hata kipindi cha nyuma, kukutana nae ilikuwa ni nadra sana!! Kingine, ningesema tu tamaa na attention aliyonioneshea wakati namtazama!!
 
Pumbav kabisa, hivi kwanini jomba Shetani mnapenda sana kumsingizia aisee.
Mmefanya yenu kwa akili zenu wenyewe tena mkiwa wawili tu bila kulazimishwa na mtu then mwisho wa siku mnamsingizia shetani, mna shida gani nyie binaadamu.
 
Back
Top Bottom