Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 54,838 Reaction score 53,784 Mar 25, 2014 #61 MtiMawazo said: jamani hivi hao wadada wanaowakamua hivyo mnawapata wapi?We tafuta mmama wa miaka 50 and above utapenda!hawana gharama,wanakupenda kiukweli na ni wajuzi mno. we unaaangaiaka na walevi wa fashen lazima mifuko itoboke. Click to expand... mmmmh!
MtiMawazo said: jamani hivi hao wadada wanaowakamua hivyo mnawapata wapi?We tafuta mmama wa miaka 50 and above utapenda!hawana gharama,wanakupenda kiukweli na ni wajuzi mno. we unaaangaiaka na walevi wa fashen lazima mifuko itoboke. Click to expand... mmmmh!
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,229 Mar 25, 2014 #62 Afu ofisini mshahara unatoka tarehe 34. King'asti said: Hehhe tarehe mbovu hizi Click to expand...
mrsleo JF-Expert Member Joined Jan 13, 2014 Posts 2,588 Reaction score 3,886 Mar 25, 2014 #63 kuna mtu aliuliza swali humu hao wasichana huo mnakutana nao vilabuni?
neggirl JF-Expert Member Joined Jul 30, 2009 Posts 4,862 Reaction score 2,156 Mar 25, 2014 #64 haha haaaaaa kuhongwa suna! Bure aghali!
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,232 Reaction score 26,753 Mar 25, 2014 #65 Majigo said: mkuu Heaven on Earth! Mi natafuta usawa, wala sitoi lawama za bure! Click to expand... ukiwa bahili wanawake waziri utaishia kuwaita mashemeji
Majigo said: mkuu Heaven on Earth! Mi natafuta usawa, wala sitoi lawama za bure! Click to expand... ukiwa bahili wanawake waziri utaishia kuwaita mashemeji
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,980 Mar 25, 2014 #66 hahaha tulia mamito, tafuta posho huo mshahara hata usiuulizie. imekuwaje bingo la katiba likakupita malaki yote hayo? :tape::tape: Kongosho said: Afu ofisini mshahara unatoka tarehe 34. Click to expand...
hahaha tulia mamito, tafuta posho huo mshahara hata usiuulizie. imekuwaje bingo la katiba likakupita malaki yote hayo? :tape::tape: Kongosho said: Afu ofisini mshahara unatoka tarehe 34. Click to expand...
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,229 Mar 25, 2014 #67 Mie nashangaa, kuna mtu kaniloga nahisi. Hivi hata ubeba mikoba nimekosa? Anyway, ngoja nipige twisheni wanafunzi wa fomu wani B. King'asti said: hahaha tulia mamito, tafuta posho huo mshahara hata usiuulizie. imekuwaje bingo la katiba likakupita malaki yote hayo? :tape::tape: Click to expand...
Mie nashangaa, kuna mtu kaniloga nahisi. Hivi hata ubeba mikoba nimekosa? Anyway, ngoja nipige twisheni wanafunzi wa fomu wani B. King'asti said: hahaha tulia mamito, tafuta posho huo mshahara hata usiuulizie. imekuwaje bingo la katiba likakupita malaki yote hayo? :tape::tape: Click to expand...
miss wa kinyaru JF-Expert Member Joined Aug 28, 2012 Posts 542 Reaction score 356 Mar 25, 2014 #68 Mtoto halali na hela said: mkiamka mje Click to expand... acheni Movie iendelee
miss wa kinyaru JF-Expert Member Joined Aug 28, 2012 Posts 542 Reaction score 356 Mar 25, 2014 #69 zinc said: Hivi wewe una akili kweli??? Au ili mradi tu na wewe uonekane ligi ya ubishi unaiweza!!! Mama yako unaweza kumuomba papuchi? Click to expand... Kama wewe huna hizo akili, usifikiri wote hawana ee! pole babu kama jiwe limekupata
zinc said: Hivi wewe una akili kweli??? Au ili mradi tu na wewe uonekane ligi ya ubishi unaiweza!!! Mama yako unaweza kumuomba papuchi? Click to expand... Kama wewe huna hizo akili, usifikiri wote hawana ee! pole babu kama jiwe limekupata