Vituka
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 2,268
- 1,267
Najitahidi ndugu na ctachoka, thanx, nachompendea ni kua anajua anachokifanya sometime ukikaa nae anaongea kama mtu
Sometimes kama jini au! Anyway kwanza pole, pili nakushauri uwe makini sana na afya yako, si unajua mumeo yupo kwenye mtandao so huwezi jua mko wangapi mama!!! Ningekushauri vingine ila kwa hilo la mumeo kuwa na small house nakushauri usitishe kufanya tendo la ndoa na mumeo kwa afya yako na mustakabali wa wanao! I am a woman kama wewe, najua unaweza kabisa tena kwako wewe jamaa si anakuwa mvivu hadi umlazimishe? Basi stop asking him kuhusu iyo kitu, then kama ata insist mshauri mkapime na kama hataki basi! Endelea kuishi nae hivyo hivyo ILA BE WITH GOD MORE THAN EVER! Sali sana mdada na umuombe Mungu akusadie katika ndoa yake as you say kwamba hutaki kuvunja ndoa yako!
Nakuhakikishia Mungu atakujibu kwa namna ya ajabu!Trust me, ila for the sake of your kids usimuache, ishi nae vizuri tu, mheshimu, akirudi huo usiku wa manane mfungulie na mkaribishe kwa furaha!I know kwa hali ya kawaida inauma ila with God atakuwezesha.
Nina mfano ambao unaweza kuwa si mzuri, mkaka alikuwa akimtesa mke sana, mke akazamaa kwenye maombi na mmoja Mchungaji na Mwalimu fulani wa dini for months! Mwisho wa siku Mchungaji akamwambia mdada God has heard your cry and lets wait for the answers!!Yule kaka alipata ajali mbaya sana na alifariki! Wakati mwingine watu huingia katika ndoa na watu ambao hawakuwa mpango wa Mungu, unapomlilia na kumuomba yeye atakuokoa kwa njia ya ajabu! trust God, he has been able, he is and he will continue to be!