Niliposema kwa shida na raha ,Nilimaanisha.

Niliposema kwa shida na raha ,Nilimaanisha.

Habari wana MMU,
Nimesikia na kushuhudia mengi na kupokea ushauri juu ya kuyumba kwa ndoa yangu lakini napenda kukiri kua wengi wamekua wakinikatisha tama na kunitaka nijiengue .hivyo naombeni msaada wa mawazo utakaonifanya niirudishe ndoa yangu na si kuivunja,
Nna miaka tisa na mume wangu kipenzi, tumebahatika kupata watoto 2, miaka 6 ilikua ya amani na pendo ndani ya nyumba, mume wangu alinionyesha upendo wote niliokua nautaraji toka kwake.
Hali ilikua mbaya mwanzoni mwa mwaka 2011, ambapo mume wangu alianza kunionyesha vitendo vya tofauti , hakua msikivu tena, anachelewa kurudi home , baada ya muda nilicikia na kuthibitisha haya;
1. Ni kweli kua ana nyumba ndogo kimara
2. Ni kweli kua ana uhusiano usio rasmi na mfanyakazi mwenzie
3. Ni kweli kua safari za kikazi zimeongezeka maradufu
4. Ni kweli kua hana mda na familia yake,
5. Ni kweli kua hata haki ya ndoa inasuasua na mpaka nilazimishe.

Vikao vya familia na wasimamizi wa ndoa vimefanyika viwili akakiri na kusema atavunja mahusiano ya nje , na hii ilionyesha mafanikio kidogo kwa mwaka jana alijirudi na inasemekana ameachana na nyumba ndogo hiyo ya kimara,

Kilichonisukuma kuandika ni kua amebadilika tena na nahisi ameanzisha makoloni mapya ingawa haya cjayahakikisha,amekua ni mtu mkorofi halali ndani, akirudi mda anaotaka,

Kuhusu matumizi ya nyumbani na mengineyo hana matatizo anaprovide inavyotakikana,

Naumia , natamani miaka 6 ya mwanzoni ya upendo irudi tena, hana sababu aliyowahi kuitoa zaidi ya kupitiwa na shetani,

Wengi wamenishauri kuivunja ndoa lakini moyo wangu bado upo kwake na nahitaji kiapo changu kwake kiwe cha milele, Hivyo naombeni ushauri wa kuirudisha ndoa yangu na c kuivunja.

Tafuta mtu anayemuheshimu na kumuogopa sana katika familia then kaa na huyo mtu kumwomba akusaidie kulitatua tatizo lenu....by the way maandiko yanasema mwanamke -------- uivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe...
 
Check na Nyamayao kwa ushauri zaidi, waweza mwendea pm.
Mwingine ni gfsonwin hao watakupa mbinu za kuishi na mumeo bila kuumia. Mimi ningekuambia muache, lkn kwa kuwa hutaki kumuacha then hao wadada watakuwa wa msaada kwako.
 
Last edited by a moderator:
Check na Nyamayao kwa ushauri zaidi, waweza mwendea pm.
Mwingine ni gfsonwin hao watakupa mbinu za kuishi na mumeo bila kuumia. Mimi ningekuambia muache, lkn kwa kuwa hutaki kumuacha then hao wadada watakuwa wa msaada kwako.

mie kwangu option ya kuacha napenda mpaka mtu ajichokee mwenyewe, ya kushauriwa ni mtu anashindwa kuwa na maamuzi yakinifu mana rohoni anamhitaji/anampenda bado huyo mtu wake na mara nyingi ushauri wa hivi mtoa ushauri ndio atakuja kuonekanika mbaya coz muachaji bado ana mapenzi na mtu wake, anayopitia wengi wetu tumeyapitia nikiwemo mie, karibia yote yanayomsibu ndio yaliyonisibu, inakuwaga ni wakati mgumu sana usipopambana ukapiga moyo konde.
 
Natamani hiyo siku ya siku niwe karibu na shetani ili nisikie anavyosomewa hukumu yake, manake wengi kweli huamini kuwa yeye ndio anawatumbukiza kwenye majaribu....
 
Njoo kwangu wewe mtoto nikupe malavidavi ya kufa mtu achana na BOYA hilo lisilo tambua thamani yako.. njoo kwangu mamaa..utakufa bure kwa presha...wakati bado unalipa...
 
asante kwa ushauri dada yangu ila ntatafuta upendo ukiisha yakibaki mazoea

anza kutafuta sasa kabla wrinkles hazijatokeza. Huyo habadiliki mpaka apate kisukari....... Anarudi kazi haiwezi wewe utabakia kumaliza makanisa kwa maombi, na kupika michemsho na machukuchuku! Endelea kulala usingizi shost
 
Kuna wakati wanawake muache kujifanya victims na kulalamika kusiko kwisha, fanya maamuzi magumu once and for all.

Kama mmeo na kiapo ni cha muhimu hivyo, na tabia zake ziko wazi hadharani keshajipambanua yeye na nyumba ndogo ni kama mgonjwa na uji, hadi leo unalalama nini?

Kwa miaka 3 mizima umeshindwa kufanya maamuzi, sie ndani ya hiki kisredi tutakufanya kweli njano uione nyekundu?

Mie naona unatuchosha tu. Kama vipi vunja ndoa kama huwezi tulia na mmeo. Unaweza opt kujilipa kimya kimya ama kuokoka and blame all to the devil.

Once a cheater . . .

kula five............. Once a cheater always a cheater mpaka kisukari kimkamate hapo kwisha habari.... Ndipo wanarudi kwa wake zao oooh mama flan nisamehe nishetani aliniteka...... Shetani my foot! kisukari ndiyo kimekunasua kwa shetani au.........
 
Njoo kwangu wewe mtoto nikupe malavidavi ya kufa mtu achana na BOYA hilo lisilo tambua thamani yako.. njoo kwangu mamaa..utakufa bure kwa presha...wakati bado unalipa...

watu kama nyie ndiyo mnaelewa..........
 
Kama unahakika wewe sio tatizo, acha kuhangaika nae wala kumlazimisha haki ya ndoa,hata akikunyima kwa mwaka mzima ni heri kwako maana anakuepushia virusi anavyovibeba nje.muhimu na wewe usihangaike kuvitafuta kwingine. kuna mama Kenya mumewe alimsusa miezi kama 6,akiwa busy na vidumu siku kapata ajali na kidumu kimoja katika hatua za matibabu ikagundulika baba kaathirika na vvu, mama kwenda kupima hajahathirika. Mume akikususa tena kwa sababu ya wanawake wengine ni busara kutokumlazimisha, inauma na ni ngumu lakini ni heri kwako. Mimi huyo anekiri nampenda kuliko wanafiki mchana yupo na kidumu usiku anakutaka wewe huo uchafu unanikera sana. huyo anae kiri ana mahawara siwezi hata kugombana nae kama mwazo alikupenda akakuoa leo hakutaki kwa nini umbembeleze? Lea watoto, jipende furaha ya maisha hailetwi na mume, ela ya matumizi pokea, tunza wanao wanaume sio ndugu hawa, wao wakisalitiwa wanajishuti, ila wanaona raha wao kusaliti wake zao na familia. sijui kwa nini wanaoa. ila usisahau siku akikuchekea ukalegea ukumbuke kujikinga maradhi mama.
Nilisha pitia haya, nilipotafakari na kuona sioni sababu ya yeye kunisumbua na mahawala zake. niliacha kulia nikakomaa na maisha yangu, akichelewa kurudi simuulizi.akikataa kula leo kesho simuhesabii labda aombe, na akiomba house girl atampikia,maana amenichoka na sikuona kosa langu. alivyoona sihangaiki nae akaanza kujichekesha, alizoea nikitoka namuaga nikaacha,hata nikienda kwenye sherehe za kurudi usiku siombi anifuate wala simuagi,siku hizi kageuka ananishangaa mimi, namtazama tu, imani ilishanitoka ila kwakua niliamua kutokuondoka kwake sijipi shida hata huo mkurukuru wake siutamani, naenjoy kulea wanangu, akirudi anakuta full vicheko ndani, nilishaamua starehe zake zisiwe mateso kwangu na sitakaa nimpe nafasi tena yakumwamini. siku hizi sijui kapatwa na nini anajichekeshachekesha na ananiita gaidi, eti simjali tena. akiingia ndani ijumaa anatoka juma tatu,saa kumi na moja akitoka kazini ndani mpaka kesho, sijui kaishiwa au kapigwa kibuti na mahawala zake. Akileta vizawadi hata sishobokei kama zamani, juzi kaniuliza wewe mwanamke umekuaje, nianze upya kukutongoza nikamwambia na nikikubali ukatoe upya mahari, sina imani nae na bahati nzuri hanilazimishi nikimwambia sitaki, akinitaka namwambia twende nikupeleka kwa hawala zako, anakasirika ananiacha. mpaka atakapokiri na mimi kujiaminisha amerekebika ndo ndoa itaendelea, tena tukipima afya.
 
heeee??!!hawa wanaume hua hawasikii
hata ubinuke vp kama kajua nje ni shida
utavumilia mpaka lini?action muhimu
unapenda hivyo dunia ya leo khaaaaa!!hongera lkn
ila kuna magonjwa!!
 
tafuta kidumu na wewe uone utakavyoishi kwa amani usije ukajifia kwa presha na kuacha watoto na ndugu wanaokutegemea
No, usimshauri aanze kucheat. Kwa sisi wanawake we give each other support without necessary inviting others to try our evils. Not all women have it in them to cross that cheating line.
 
Kama unahakika wewe sio tatizo, acha kuhangaika nae wala kumlazimisha haki ya ndoa,hata akikunyima kwa mwaka mzima ni heri kwako maana anakuepushia virusi anavyovibeba nje.muhimu na wewe usihangaike kuvitafuta kwingine. kuna mama Kenya mumewe alimsusa miezi kama 6,akiwa busy na vidumu siku kapata ajali na kidumu kimoja katika hatua za matibabu ikagundulika baba kaathirika na vvu, mama kwenda kupima hajahathirika. Mume akikususa tena kwa sababu ya wanawake wengine ni busara kutokumlazimisha, inauma na ni ngumu lakini ni heri kwako. Mimi huyo anekiri nampenda kuliko wanafiki mchana yupo na kidumu usiku anakutaka wewe huo uchafu unanikera sana. huyo anae kiri ana mahawara siwezi hata kugombana nae kama mwazo alikupenda akakuoa leo hakutaki kwa nini umbembeleze? Lea watoto, jipende furaha ya maisha hailetwi na mume, ela ya matumizi pokea, tunza wanao wanaume sio ndugu hawa, wao wakisalitiwa wanajishuti, ila wanaona raha wao kusaliti wake zao na familia. sijui kwa nini wanaoa. ila usisahau siku akikuchekea ukalegea ukumbuke kujikinga maradhi mama.
Nilisha pitia haya, nilipotafakari na kuona sioni sababu ya yeye kunisumbua na mahawala zake. niliacha kulia nikakomaa na maisha yangu, akichelewa kurudi simuulizi.akikataa kula leo kesho simuhesabii labda aombe, na akiomba house girl atampikia,maana amenichoka na sikuona kosa langu. alivyoona sihangaiki nae akaanza kujichekesha, alizoea nikitoka namuaga nikaacha,hata nikienda kwenye sherehe za kurudi usiku siombi anifuate wala simuagi,siku hizi kageuka ananishangaa mimi, namtazama tu, imani ilishanitoka ila kwakua niliamua kutokuondoka kwake sijipi shida hata huo mkurukuru wake siutamani, naenjoy kulea wanangu, akirudi anakuta full vicheko ndani, nilishaamua starehe zake zisiwe mateso kwangu na sitakaa nimpe nafasi tena yakumwamini. siku hizi sijui kapatwa na nini anajichekeshachekesha na ananiita gaidi, eti simjali tena. akiingia ndani ijumaa anatoka juma tatu,saa kumi na moja akitoka kazini ndani mpaka kesho, sijui kaishiwa au kapigwa kibuti na mahawala zake. Akileta vizawadi hata sishobokei kama zamani, juzi kaniuliza wewe mwanamke umekuaje, nianze upya kukutongoza nikamwambia na nikikubali ukatoe upya mahali, sina imani nae na bahati nzuri hanilazimishi nikimwambia sitaki, akinitaka namwambia twende nikupeleka kwa hawala zako, anakasirika ananiacha. mpaka atakapokiri na mimi kujiaminisha amerekeika ndo ndoa itaendelea, tena tukipima afya.

huyo karudi na kisukari kampime uanze kumpikia michemsho na chukuchuku.......
 
uko vizuri mimi mwenyewe siku hizi ni stress free sitaki kuumiza moyo wangu kwa sababu ya kupenda...furaha ya kweli huanzia ndani ya mtuu jifurahishe kabla haujafurahishwa alaahh...watoto pia ni furaha nyingine....
 
.....jichunguze kwanza wewe mwenyewe.labda baada ya kujifungua hao wtt wako wawili ubunifu wako kwenye 6x6 umepungua sana,mahanjam na malavidavi hayamfikishi mzee anapopataka ndio maana anakwenda nje,nakushauri jaribu kuongeza ufundi labda mzee atajirudi, kinyume na hayo mama utabaki kulalamika tuuuu
 
Je, tangu ugundue kuwa mwenzi wako ana kimada unatumia kinga mnapofanya tendo la ndoa? Yote tisa, afya yako na wanao ndio kitu nambari one. Kapime na ukikuta uko salama,usikubali akurubuni ukashiriki tendo la kujamihiana pasipo kondomuuuuu.

kazi sana mke na mume kutumia kondom na je watatumia kwa miaka mingapi?
 
Umewahi kusikia toy moja hivi inaitwa "kabastola" hii ni suluhisho la matatizo yako yote, mfumue ubongo mchezo unaisha.

Vodacom - kazi ni kwako
 
Njoo kwangu wewe mtoto nikupe malavidavi ya kufa mtu achana na BOYA hilo lisilo tambua thamani yako.. njoo kwangu mamaa..utakufa bure kwa presha...wakati bado unalipa...

Duuuu!!!!ushauri mwingine we acha tu, so unataka aachane na mumewe umuoe?au ni malavidavi tu
 
Back
Top Bottom