Alikua kijana mtanashati na mwenye kujipenda pale mtaani kwetu.
Mauti yalimkuta baada ya kuwekewa sumu na asiyejulikana kwenye kinywaji.
Kwakuwa marehemu alikua mtuwangu wa karibu, nilikhusika katika maandalizi ya maziko, pamoja na shugulizote pale nyumbani kwao.
Nilipewa jukumu la kumiliki simu ya marehemu kwa muda ilikupokea simu zinazo ingia pamoja na kuwajulisha ndugu, jamaa na marafiki kuhusu msiba.
Ghafla nilivutiwa na majibizano ya meseji kwenye simu ile alokua akijibizana na mwanamke, na nilipoisoma vizuri ndipo nilipogundua kuwa ilikua ni namba ya mkewangu. Moja kwa moja nikagundua mkewangu alikua na mahusiano na marehemu.
Ndipo bilakuaga niaondoka kuelekea nyumbani.....
Samahani wadau,
nitarudi kuwapa kilicho jiri
acha uongo ww! Inamaana mkeo alikuwa hajajua kuwa jamaa kafariki? Yaan ww ujue halafu mkeo asijue wakat wote mnakaa pamoja! Hujanishawishi bado na hatutaki mejesho wako
acha uongo ww! Inamaana mkeo alikuwa hajajua kuwa jamaa kafariki? Yaan ww ujue halafu mkeo asijue wakat wote mnakaa pamoja! Hujanishawishi bado na hatutaki mejesho wako
Mgirik, kwanza usipende kuwakilisha mawazo ya mtu mwingine,
namaanisha usipende kudandia gari kwa mbele,
nisawa na kunywa chai kwa picha ya mkate.
Mkuu, ukija humu jf kwa lengo la kushawishiwa utaangukia pua Mgiriki.
Hapa ni hoja kwa kwenda mbele, acha tabia ya ku kurupuka kwa usilo lijua, na kwa kukuonyesha kwamba nina uwezo wa kukushawishi, ni kuona umeusoma uzi husika na ukatoa ushirikano kwa ku re-play.
acha uongo ww! Inamaana mkeo alikuwa hajajua kuwa jamaa kafariki? Yaan ww ujue halafu mkeo asijue wakat wote mnakaa pamoja! Hujanishawishi bado na hatutaki mejesho wako
usipende kudanganya watu wazma na akili zao ukadhan watoto wenzio........ Nisawa na kuota kama umemuoa mtoto wa obama
na usije ukajidanganya kuwa utaleta uongo wako hapa na utaungwa mkono hlo sahau......