Niliponea chupuchupu baada ya kula limbwata lenye sumu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hilo la kununyolewa du Haas haaa, sasa ukute una wanawake 4 tena kabila tofauti kweli lazima akili iyumbe kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukute umeoa mke number
1. Mrangi
2. Muha
3. Mmakonde
4. Mnyamwezi
Aisee utarogwa mpaka ndugu zako uwasahau hata majina
 
Ukute umeoa mke number
1. Mrangi
2. Muha
3. Mmakonde
4. Mnyamwezi
Aisee utarogwa mpaka ndugu zako uwasahau hata majina
Wewe umetaja makabila haya manne, kuna mwingine atakuja nae atataja yake matano tofauti kabisa nahaya, halafu atakuja mwingine nae ataongeza yake matatu tofauti nahaya yakwenu,

Mwisho mtakuja kukuta mmetaja karibu makabila yote ya Tanzania!sasa sijui utaenda kuoa kabila gani!!! Tafakari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuna mwanamke nimezaa nae kila akisema turudiane mapigo ya moyo yanaenda kasi hatari cha kushangaza hatukuwahi kuachana kwa ugomvi wowote ila machale yananicheza sana ni miaka nampiga kalenda kama za lumumba


Sent using IPhone X
 
Niambie kama kuna kabila kali kwa limwata kama
1. Mrangi
2. Mmakonde
3. Mnyamwezi ogopa sana Nzega
4. Muha
 
Dah,mkuu pole sana.Hivi bado upo hai?Huyo jamaa mwingine vipi naye ana tunguli?
 
Sahihi kabisa ...wanaume tumekuwa victims wa mahusiano. Wadada hutumia.sana huruma.zetu kwao na kwa watoto kutunasa kwa.kupitia.mimba....


Wazee walisema..mtoto ni mpango wa mungu, ndoa sio mpango wa mungu


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…